Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Id kubwa ndiyo ipoje demy....kwa hiyo hii yangu inaukubwa gani.....?Aiseeee mm nilikutana na huyo mwenye kiuno kumi siyo type yangu alafu id yake kubwaaaa
Kiuno kidogooo ahahajajAiseeee mm nilikutana na huyo mwenye kiuno kumi siyo type yangu alafu id yake kubwaaaa
Demiss Unapenda wanaume HB?Aiseeee mm nilikutana na huyo mwenye kiuno kumi siyo type yangu alafu id yake kubwaaaa
Hahahaaa! Acha kunivunja mbavu jamani.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yan nampitaaa kabisaaa huwa natoka mwendo ukikumbuka id yake ina brand kubwaaa comment zakee mashaaalaah threads zakee hoiii unajua kitu ndo hichii kumbe hamorapa mm kiukweli nakimbia tu[emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahaaa! Eti kiuno kumi. Unamaanisha kembambaa au?Aiseeee mm nilikutana na huyo mwenye kiuno kumi siyo type yangu alafu id yake kubwaaaa
Unavaa kiuno ngapi kwanza?Id kubwa ndiyo ipoje demy....kwa hiyo hii yangu inaukubwa gani.....?
Kwani siku hizi mwanaume anasifiwa nyonga?Unavaa kiuno ngapi kwanza?
Tumesema tu wala hatujakutana na watuKama ukikutana na mtu halafu hujapendezwa naye si bora kukausha tu...
Wanadamu hatujajiumba wenyewe...
Brand ya id yakeeeId kubwa ndiyo ipoje demy....kwa hiyo hii yangu inaukubwa gani.....?
Nilikimbiaa kijanja alafu nilimuelekeza akaja mpaka getin ikabid nimwambie walinzi wa hapa kwetu hawaruhusu wagen wasiowajuaaa maana tunaishi nyumba za waheshimiwaa nikamsalimia tu nikasepa naona sku hizi ananitukana kwenye thread zanguKiuno kidogooo ahahajaj
Ndioooo rafiki kipenziDemiss Unapenda wanaume HB?
Mtu na kakake, nimewashindwa tabia! [emoji2]Hivi wewe na umafia wako wooote wa papuchi umeshindwa kabisaaa kumkoleza mtoto mmoja humu hadi kila uzi,kila comment awe anataja tu daby!!!!
Yan dada acha kabisaaa mambo ya mitandaoni ni kama unachezaaa tatu mzukaaa maraaaa paaap unakutana na baba yakoooHahahaaa! Acha kunivunja mbavu jamani.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahahahhahaahah nimemshajuuuua huwezi amini nakojooooaaaNilikimbiaa kijanja alafu nilimuelekeza akaja mpaka getin ikabid nimwambie walinzi wa hapa kwetu hawaruhusu wagen wasiowajuaaa maana tunaishi nyumba za waheshimiwaa nikamsalimia tu nikasepa naona sku hizi ananitukana kwenye thread zangu
Ndiooo kembamba keusi kakavuuu balaaa hafanan na id yakeeeeeHahahaaa! Eti kiuno kumi. Unamaanisha kembambaa au?
Sawa Ni Pm tuyajenge.Ndioooo rafiki kipenzi