Wanaume wa Jf walivyo!...

Wanaume wa Jf walivyo!...

Kama ukikutana na mtu halafu hujapendezwa naye si bora kukausha tu...

Wanadamu hatujajiumba wenyewe...
 
Yan nampitaaa kabisaaa huwa natoka mwendo ukikumbuka id yake ina brand kubwaaa comment zakee mashaaalaah threads zakee hoiii unajua kitu ndo hichii kumbe hamorapa mm kiukweli nakimbia tu[emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahaaa! Acha kunivunja mbavu jamani.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi wewe na umafia wako wooote wa papuchi umeshindwa kabisaaa kumkoleza mtoto mmoja humu hadi kila uzi,kila comment awe anataja tu daby!!!!
Mtu na kakake, nimewashindwa tabia! [emoji2]
 
Hahahaaa! Acha kunivunja mbavu jamani.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yan dada acha kabisaaa mambo ya mitandaoni ni kama unachezaaa tatu mzukaaa maraaaa paaap unakutana na baba yakooo
 
Nilikimbiaa kijanja alafu nilimuelekeza akaja mpaka getin ikabid nimwambie walinzi wa hapa kwetu hawaruhusu wagen wasiowajuaaa maana tunaishi nyumba za waheshimiwaa nikamsalimia tu nikasepa naona sku hizi ananitukana kwenye thread zangu
Ahahahhahaahah nimemshajuuuua huwezi amini nakojooooaaa
 
Back
Top Bottom