Wanaume wa Jf walivyo!...

Wanaume wa Jf walivyo!...

Kweli ni kijiwe cha kahawa na kuna draft hapo, mimi kitengo changu ni maswala ya vita US vs Russia, North Korea etc.

Kabla ya kwenda ni lazima nipitie nondo zenu kujiweka fit.

Naaminika sana pale.

Aseeh!, inafurahisha lakini it's good to know Don.
Ndio uzuri wa JF, mtu akitaka kujifunza anaweza kujifunza mengi uwezo wake tu.
Uongo mbaya ni wengi kwa kweli tunafaidika na humu ndani. Umenichekesha lakini na kijiwe chako na kitengo chako! 😀
 
Mwanzoni wakati nafika pale kuna Mzee Salehe ambaye yeye anakamata vitengo vyote, sasa yeye anasikiliza sana radio na ni mbishi hasa.

Ana dominate discussions zote yaani, na ni mchezaji mkali sana kwenye draft, nadhani hapa DSM yuko kwenye Top Players.

Sasa siku wakaanzisha discussion ya North Korea kumtisha US, nikawapa point to point mpaka Mzee Salehe nikamshinda na huwa hashindwi pale.

Tokea siku hiyo watu wakanikabidhi hiko kitengo, leo tulikuwa na report ya CAG, nimeshinda tena ubishi, support kubwa ni humu ndani. Then unaenda kwenye vyanzo vingine pia.

Thanks to you people.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah wewe jamaa kwa fix hujambo.
 
Siku ukija Bongo tuchekiane mkuu, hiko kijiwe kiko Mbezi ya Kimara, ni jirani na Zebra baada ya stendi ya Zamani kama unaenda Stendi Mpya, uliza wanapocheza draft utaoneshwa.

Pale nina vitengo kadhaa ila hiki cha kivita ndo kilinipa sifa, tena nondo zako nazitumia sana.

Kuna siku niliwahi kuwasimulia issues za Freemasons kutoka kwenye kitabu cha Chande, A Knight From Bukene mpaka nikapewa chansi ya kunywa Tangawizi bure wiki nzima, sema napataga muda weekend tu, tena Jumapili, ukiacha sasa hivi niko likizo kwa hiyo nashusha points balaa.
 
Mzee Salehe ni kila kitu pale kijiweni, halafu ana msemo wake wa "Nisikilize mimi", sasa mimi namwacha anaongea kwanza halafu napita kwenye points zake huku nikiwakumbukeni nyie na nondo zenu.

Tukishindwana tunaingia google halafu mimi naibuka mshindi.
 
Mwanzoni wakati nafika pale kuna Mzee Salehe ambaye yeye anakamata vitengo vyote, sasa yeye anasikiliza sana radio na ni mbishi hasa.

Ana dominate discussions zote yaani, na ni mchezaji mkali sana kwenye draft, nadhani hapa DSM yuko kwenye Top Players.

Sasa siku wakaanzisha discussion ya North Korea kumtisha US, nikawapa point to point mpaka Mzee Salehe nikamshinda na huwa hashindwi pale.

Tokea siku hiyo watu wakanikabidhi hiko kitengo, leo tulikuwa na report ya CAG, nimeshinda tena ubishi, support kubwa ni humu ndani. Then unaenda kwenye vyanzo vingine pia.

Thanks to you people.
Aiseeh!, [emoji28] [emoji23]

Lakini hongera kwa wenye JF pia Mkuu!

Am sure wakiona hii impact on people kutoka JF wanafurahia pia.
Eti wewe na mzee Salehe kila mtu na kitengo chake. Hahaha! [emoji3] [emoji106]
 
Siku ukija Bongo tuchekiane mkuu, hiko kijiwe kiko Mbezi ya Kimara, ni jirani na Zebra baada ya stendi ya Zamani kama unaenda Stendi Mpya, uliza wanapocheza draft utaoneshwa.

Pale nina vitengo kadhaa ila hiki cha kivita ndo kilinipa sifa, tena nondo zako nazitumia sana.

Kuna siku niliwahi kuwasimulia issues za Freemasons kutoka kwenye kitabu cha Chande, A Knight From Bukene mpaka nikapewa chansi ya kunywa Tangawizi bure wiki nzima, sema napataga muda weekend tu, tena Jumapili, ukiacha sasa hivi niko likizo kwa hiyo nashusha points balaa.
Haki umenichekesha!
Hongera kwa ushindi na offer ya tangawizi [emoji3] [emoji122]
 
Hajui tu navyopata ujiko kupitia nondo anazotoa humu.

Mimi huwa ni mvivu sana kutafuta info mpya, ni mpaka nipate lead kutokea humu au niisikie kwa mtu ndo nachimba zaidi.
Good to hear this Mkuu!

Kweli humu kuna mada zina hamasisha sana kutaka kujifunza zaidi ili kuwa up to date na yanayoendelea duniani.
Na kama mtu yuko serious anaondoka na mengi mazuri ya kujifunza na kukuza akili, especially katika dunia ya leo ya mashindano. Let's keep this up!
 
Kuna muda nitawajoin kule niwe regular.
 
Back
Top Bottom