Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Aww!, Likewise Mkuu! [emoji120]
Haya was cool having a chat with you.
Naangalia game ya Cavs vs Pacers NBA.
Bye at the moment.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aww!, Likewise Mkuu! [emoji120]
Haya was cool having a chat with you.
Naangalia game ya Cavs vs Pacers NBA.
Bye at the moment.
G anataka kukutoa kwenye mstari...terehe 26 ni pale pale.Yaan na kweli ni boge la hB halaf ana body kama la ulimwengu Mungu anipe nini mimi jamanii ,alinionyesha kaziii mpaka nimetia adabu
AhahahahahahahhaKweli ni kijiwe cha kahawa na kuna draft hapo, mimi kitengo changu ni maswala ya vita US vs Russia, North Korea etc.
Kabla ya kwenda ni lazima nipitie nondo zenu kujiweka fit.
Naaminika sana pale.
Kumbe unadesa jf[emoji23][emoji23][emoji23]Siku ukija Bongo tuchekiane mkuu, hiko kijiwe kiko Mbezi ya Kimara, ni jirani na Zebra baada ya stendi ya Zamani kama unaenda Stendi Mpya, uliza wanapocheza draft utaoneshwa.
Pale nina vitengo kadhaa ila hiki cha kivita ndo kilinipa sifa, tena nondo zako nazitumia sana.
Kuna siku niliwahi kuwasimulia issues za Freemasons kutoka kwenye kitabu cha Chande, A Knight From Bukene mpaka nikapewa chansi ya kunywa Tangawizi bure wiki nzima, sema napataga muda weekend tu, tena Jumapili, ukiacha sasa hivi niko likizo kwa hiyo nashusha points balaa.
Mmezidii nyie mnatisha kweli,kiukweli wanawake tuna roho za uvumilivu kweli ,,nimeona kesho mbalii
Hahahahahaha anataka kuzima maandamano ma shindwee tuko pale paleG anataka kukutoa kwenye mstari...terehe 26 ni pale pale.
KidogoJe, avatar yako pia inatoa uhalisia wa umbile la kichwa na uso wako?
Kumbe unadesa jf[emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahahahahah kabisaaNdo maana yake, wananiona bonge la kichwa.
Siku JF ikifungwa wengi tutateseka.
Kuna nini hiyo trh 26? Ubuyu au?G anataka kukutoa kwenye mstari...terehe 26 ni pale pale.
Hahahahahaha,Malcolm kwa nini unamuona hivyo?
Amenifurahisha lakini na kijiwe chake! [emoji3]
Bwahahahaha,Siku ukija Bongo tuchekiane mkuu, hiko kijiwe kiko Mbezi ya Kimara, ni jirani na Zebra baada ya stendi ya Zamani kama unaenda Stendi Mpya, uliza wanapocheza draft utaoneshwa.
Pale nina vitengo kadhaa ila hiki cha kivita ndo kilinipa sifa, tena nondo zako nazitumia sana.
Kuna siku niliwahi kuwasimulia issues za Freemasons kutoka kwenye kitabu cha Chande, A Knight From Bukene mpaka nikapewa chansi ya kunywa Tangawizi bure wiki nzima, sema napataga muda weekend tu, tena Jumapili, ukiacha sasa hivi niko likizo kwa hiyo nashusha points balaa.
Bwahahahaha,
Haya mkuu haina noma...Sasa wapige mkwara wawe wanakulipa maana huwapi nondo bure. Wawe wanakupa walahu kashata na Gahawa za Bure
Nadhibitisha rasmi...it's official nowNaomba aje hapa athibitisheee
pole kwa yaliyokukutaWakiwa wanaandika kwa mbwembwe na kupangilia maneno mzuri,au kutukana au kujigamba na kujitanua vyema,huku wameweka avatar nzuri na za kuvutia ,basi utafikiria unakutana na docta ulimwenguView attachment 695258afe kipa afe beki hakuna humu ndani anaemfikia docta ulimwengu kwa chochote kile,,nasi wanaume wa jf hujiona hivi wakiwa jf na ufake wao
Kiuhalisia ukiongea nao ukaenda kukutana nao unakuta mambo ni hiviView attachment 695259 yaan unajiuliza huyu si anajisemaga kuwa ana muonekano mzuri bla bla nyingi,unaishia kumkimbia ,,halaf anakuja jf kuanzisha uzi anajiwahi nimekutana na mwanamke wa jf anatishaa kweli ahahah kumbe yeye ndio kakimbiwa anatisha kama zombie na mipua yenu mikubwa kama ngumi
kiuhalisia wapo hivi,wachache sana hata ukimuona hushtuki roho wala husisimuki labda Daby anasisimua[emoji6][emoji6] Daby unilipe hii promo hii si ya mchezo mchezo kuna huyu Priceless soul siwezi kumsifia wanawake wa humu mtaniibia ni siri yangu Daby mchukueni tu sio wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Povu ruksa maana nachoma mioyo ya wengi
maandamanoKuna nini hiyo trh 26? Ubuyu au?
Sawaa monacoHahaha Basi Sawa....Ni Vema Tuendelee kutokufahamiana Tuu mpaka Mwisho....
Mnaandamana kwenda wapi na kwanini?maandamano