Wanaume wa Jf walivyo!...

Wanaume wa Jf walivyo!...

Siku ukija Bongo tuchekiane mkuu, hiko kijiwe kiko Mbezi ya Kimara, ni jirani na Zebra baada ya stendi ya Zamani kama unaenda Stendi Mpya, uliza wanapocheza draft utaoneshwa.

Pale nina vitengo kadhaa ila hiki cha kivita ndo kilinipa sifa, tena nondo zako nazitumia sana.

Kuna siku niliwahi kuwasimulia issues za Freemasons kutoka kwenye kitabu cha Chande, A Knight From Bukene mpaka nikapewa chansi ya kunywa Tangawizi bure wiki nzima, sema napataga muda weekend tu, tena Jumapili, ukiacha sasa hivi niko likizo kwa hiyo nashusha points balaa.
Kumbe unadesa jf[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bwahahahaha,
Haya mkuu haina noma...Sasa wapige mkwara wawe wanakulipa maana huwapi nondo bure. Wawe wanakupa walahu kashata na Gahawa za Bure
 
Bwahahahaha,
Haya mkuu haina noma...Sasa wapige mkwara wawe wanakulipa maana huwapi nondo bure. Wawe wanakupa walahu kashata na Gahawa za Bure

Pale ni mara moja moja naenda kuchangamsha genge, hizi shughuli na mitandao ya kijamii unakuta huna muda kabisa wa kukaa na watu vijiweni.

So Mara moja kwa wiki siyo mbaya unafika maeneo kama hivi.
 
Wakiwa wanaandika kwa mbwembwe na kupangilia maneno mzuri,au kutukana au kujigamba na kujitanua vyema,huku wameweka avatar nzuri na za kuvutia ,basi utafikiria unakutana na docta ulimwenguView attachment 695258afe kipa afe beki hakuna humu ndani anaemfikia docta ulimwengu kwa chochote kile,,nasi wanaume wa jf hujiona hivi wakiwa jf na ufake wao

Kiuhalisia ukiongea nao ukaenda kukutana nao unakuta mambo ni hiviView attachment 695259 yaan unajiuliza huyu si anajisemaga kuwa ana muonekano mzuri bla bla nyingi,unaishia kumkimbia ,,halaf anakuja jf kuanzisha uzi anajiwahi nimekutana na mwanamke wa jf anatishaa kweli ahahah kumbe yeye ndio kakimbiwa anatisha kama zombie na mipua yenu mikubwa kama ngumi
kiuhalisia wapo hivi,wachache sana hata ukimuona hushtuki roho wala husisimuki labda Daby anasisimua[emoji6][emoji6] Daby unilipe hii promo hii si ya mchezo mchezo kuna huyu Priceless soul siwezi kumsifia wanawake wa humu mtaniibia ni siri yangu Daby mchukueni tu sio wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Povu ruksa maana nachoma mioyo ya wengi
pole kwa yaliyokukuta
 
Back
Top Bottom