Bwana kaduga
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 863
- 1,812
Jamani hamlali tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tu, nimecheka mpaaka! [emoji3]
Hatuna hata vitandaaJamani hamlali tu?
Karibu kwangu hapa jirani yako nikustiriHatuna hata vitandaa
Hahaha!, umenichekesha eti huwa wanakusubiri! [emoji23]Twende kwenye thread ya mabomu, kuna kijiwe nakaaga wanakuwa wananisubiri mimi kuhusiana na nondo za US and Co vs Russia.
Mimi kimya kimya nachukua madesa kwenu natamba kama ndo mtalaamu.
Hahaha!, umenichekesha eti huwa wanakusubiri! [emoji23]
Nyie watu mna vituko humu! [emoji28]
Kweli ni kijiwe cha kahawa na kuna draft hapo, mimi kitengo changu ni maswala ya vita US vs Russia, North Korea etc.
Kabla ya kwenda ni lazima nipitie nondo zenu kujiweka fit.
Naaminika sana pale.
Aseeh!, inafurahisha lakini it's good to know Don.
Ndio uzuri wa JF, mtu akitaka kujifunza anaweza kujifunza mengi uwezo wake tu.
Uongo mbaya ni wengi kwa kweli tunafaidika na humu ndani. Umenichekesha lakini na kijiwe chako na kitengo chako! 😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanzoni wakati nafika pale kuna Mzee Salehe ambaye yeye anakamata vitengo vyote, sasa yeye anasikiliza sana radio na ni mbishi hasa.
Ana dominate discussions zote yaani, na ni mchezaji mkali sana kwenye draft, nadhani hapa DSM yuko kwenye Top Players.
Sasa siku wakaanzisha discussion ya North Korea kumtisha US, nikawapa point to point mpaka Mzee Salehe nikamshinda na huwa hashindwi pale.
Tokea siku hiyo watu wakanikabidhi hiko kitengo, leo tulikuwa na report ya CAG, nimeshinda tena ubishi, support kubwa ni humu ndani. Then unaenda kwenye vyanzo vingine pia.
Thanks to you people.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah wewe jamaa kwa fix hujambo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah wewe jamaa kwa fix hujambo.
Aiseeh!, [emoji28] [emoji23]Mwanzoni wakati nafika pale kuna Mzee Salehe ambaye yeye anakamata vitengo vyote, sasa yeye anasikiliza sana radio na ni mbishi hasa.
Ana dominate discussions zote yaani, na ni mchezaji mkali sana kwenye draft, nadhani hapa DSM yuko kwenye Top Players.
Sasa siku wakaanzisha discussion ya North Korea kumtisha US, nikawapa point to point mpaka Mzee Salehe nikamshinda na huwa hashindwi pale.
Tokea siku hiyo watu wakanikabidhi hiko kitengo, leo tulikuwa na report ya CAG, nimeshinda tena ubishi, support kubwa ni humu ndani. Then unaenda kwenye vyanzo vingine pia.
Thanks to you people.
Malcolm kwa nini unamuona hivyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah wewe jamaa kwa fix hujambo.
Haki umenichekesha!Siku ukija Bongo tuchekiane mkuu, hiko kijiwe kiko Mbezi ya Kimara, ni jirani na Zebra baada ya stendi ya Zamani kama unaenda Stendi Mpya, uliza wanapocheza draft utaoneshwa.
Pale nina vitengo kadhaa ila hiki cha kivita ndo kilinipa sifa, tena nondo zako nazitumia sana.
Kuna siku niliwahi kuwasimulia issues za Freemasons kutoka kwenye kitabu cha Chande, A Knight From Bukene mpaka nikapewa chansi ya kunywa Tangawizi bure wiki nzima, sema napataga muda weekend tu, tena Jumapili, ukiacha sasa hivi niko likizo kwa hiyo nashusha points balaa.
Malcolm kwa nini unamuona hivyo?
Amenifurahisha lakini na kijiwe chake! [emoji3]
Haki umenichekesha!
Hongera kwa ushindi na offer ya tangawizi [emoji3] [emoji122]
Good to hear this Mkuu!Hajui tu navyopata ujiko kupitia nondo anazotoa humu.
Mimi huwa ni mvivu sana kutafuta info mpya, ni mpaka nipate lead kutokea humu au niisikie kwa mtu ndo nachimba zaidi.
Aww!, Likewise Mkuu! [emoji120]Asante kwako na timu nzima ya Jamii Intelligence.
You guys are super...
Good to hear this Mkuu!
Kweli humu kuna mada zina hamasisha sana kutaka kujifunza zaidi ili kuwa up to date na yanayoendelea duniani.
Na kama mtu yuko serious anaondoka na mengi mazuri ya kujifunza na kukuza akili, especially katika dunia ya leo ya mashindano. Let's keep this up!
Itakuwa Powa sana! [emoji106] [emoji106] [emoji108]Kuna muda nitawajoin kule niwe regular.