Dina tena? Aiseee.Wewe Dinazarde acha kuzingua hebu Nyani Ngabu atusaidie kukukanya maana unamuangusha
Ha haa haaa karibu sabasaba mkuuMzee wa Tour za Mapango ya Amboni
Ndio maanakeEwaaa tukiwa bar, itakuwa pafekti kombo
Avatar inatosha kujielezaNipe picha nithaminishee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nisaidie mshipaSasa nimeamini kuwa una stress sana ila unajikaza tu
Manungayembe ndo wabaya eeh.Humu madem wazuri wachache sana..wengi wenu manungayembe...big up to all smart dudes in here (Salam zikufikie mwana Wa JF tuliyekutana London Lounge ! ha haha!
Nitumie nasubiria
Linafanya name calling jinga kweli hiloDina tena? Aiseee.
Yaani unanifananisha na Hamorapa[emoji15] [emoji15] [emoji15]Beee kaka upo picha ya kwanza au ya pili?
Upo wapi juu au chiniYaani unanifananisha na Hamorapa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hajaanikwa kaambiwa handsome. Tunasifia vya nyumbani eboo
Tunajua.Mimi nafanana na hamo rapa sema tu hamo ni mweupe kidogo afu mi nna pengo
Tunajua kabla hata hasema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunajua.
Shida na raha!? Em nikumbushe, ni wapiShoogaa ungeona picha tuliyowekewa kule kwa shida naraha ungelia
Sijaona. Wametusema. Najitolea kuweka picha yangu. Nimechoka sisi kunyanyaswa kuonekana kama bi kidude.Shoogaa ungeona picha tuliyowekewa kule kwa shida naraha ungelia
Ndo najiuliza anakuhusishaje na mtu mwingine sasa.Linafanya name calling jinga kweli hilo
Rusha ile nzuri kabisa watukomeSijaona. Wametusema. Najitolea kuweka picha yangu. Nimechoka sisi kunyanyaswa kuonekana kama bi kidude.
Kasema ili tukianza kusema ionekane watu walikua wanajuaTunajua kabla hata hasema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]