Wanaume wa Jf walivyo!...

Ngoja serikali ya mtaa wa mkichwa ikikaa kikao na kutoa maamuzi sahihi ndio utapata mrejesho.
Si unajua tena yule mjumbe anayefanya mambo involuntary anapenda kutibua kikao, sasa nataka nimkalie kooni ili mambo yawe murua kabisa
Haya nasuburiaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…