Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Ndo siku Totoz ya JF imeji-mix kwa member mwaminifu wa jukwaa la siasa:
Totoz: Baby, nini kwani... yaani leo sijui upo-upoje!
Njemba ya Siasani: Jiwe bhana, Jiwe anazingua kishenzi
JF Totoz: Jiwe? Jiwe ndo nani baby wangu?
Njemba: Si Faru John
Totoz: Faru John?!! Mbona unazidi kunichanganya bwana, ah!
Njemba: Na wewe unazingua sasa! We humjui Faru John?! Faru John Baba Jesca?
Totoz: Anakaa wapi huyo Baba Jesca na amekufanya nini baby wangu?!
Njemba: We acha habari zako bhana... we humjui Magu? Magu anazingua kinoma! Jamaa kakomaa na makinikia na Stigla Goji wakati kuna kuna bonge la urithi Mchuchuma na Liganga!!!
Totoz: Mnh!

Ah! Sa' stori gani hizo bhana...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Ndo siku Totoz ya JF imeji-mix kwa member mwaminifu wa jukwaa la siasa:
Totoz: Baby, nini kwani... yaani leo sijui upo-upoje!
Njemba ya Siasani: Jiwe bhana, Jiwe anazingua kishenzi
JF Totoz: Jiwe? Jiwe ndo nani baby wangu?
Njemba: Si Faru John
Totoz: Faru John?!! Mbona unazidi kunichanganya bwana, ah!
Njemba: Na wewe unazingua sasa! We humjui Faru John?! Faru John Baba Jesca?
Totoz: Anakaa wapi huyo Baba Jesca na amekufanya nini baby wangu?!
Njemba: We acha habari zako bhana... we humjui Magu? Magu anazingua kinoma! Jamaa kakomaa na makinikia na Stigla Goji wakati kuna kuna bonge la urithi Mchuchuma na Liganga!!!
Totoz: Mnh!

Ah! Sa' stori gani hizo bhana...

Hahahahaha chige bwana, eti Mchuchuma na Liganga....
Hahahahaha yani leo hujanitendea haki kabisa ndugu yako, yaaani nimecheka sana!
 
Dah yaani mi natumia tecno? Hili tusi ni bora unitukane "mwanaume wa Dar mwenye kibamia kisichotahiriwa chenye kasi ya kumwaga kama jogoo chotara wa upareni "
Hahahh usiniambie team Samsung hahaha babu lazima utumie tecno wewe ina maandishi makubwa
 
Back
Top Bottom