Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

Hata wewe Dr. Eliza nilikuwa na kuchukulia Binti kumbe tayari ni LISHANGAZI.

Pamoto humu...
Hao wazee uliowalonda miaka hiyo , kwa Sasa ndio unaendana nao.
 
Dr Lizzy habari ya miaka? Sasa huyo alta ego ni Lizzie au Lizzy maana naona kama wako 3
Habari ni zile zile Jr...
Mpya ni kwamba you've been missed sana!! Nafurahi kuona bado upo around. πŸ€—

Lizzy 😁😁😁

Huyo Lizzie inawezekana huwa ana-take over bila sisi wengine kujua .
 
Hata wewe Dr. Eliza nilikuwa na kuchukulia Binti kumbe tayari ni LISHANGAZI.

Pamoto humu...
Hao wazee uliowalonda miaka hiyo , kwa Sasa ndio unaendana nao.
Kwani binti anaishia umri gani??

Maana kwa wazee wangu, hata nikisha-celebrate birthday yangu ya miaka 46 next week bado ntabaki kuwa binti yao.πŸ€“
 
Habari ni zile zile Jr...
Mpya ni kwamba you've been missed sana!! Nafurahi kuona bado upo around. πŸ€—

Lizzy 😁😁😁

Huyo Lizzie inawezekana huwa ana-take over bila sisi wengine kujua .
You have been missed sana this side as well. M happy I got a glimpse of the old Lizzy (The chakaramu alta ego) πŸ˜‚

Zile kesi unapataga halafu huelewi ziliyokeaje ndio the doing ya Lizzie sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…