Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

Ni m(wa)kaka)/m(wa)baba gani hapa JF kutokana na namna wanavyochangia mambo, interect na watu wengine, mbwembwe zao unadhani wanavutia kwa sura (ya kiume lakini. . .FORGET about pretty boys) na mwili unaoeleweka badala ya lijitambi lisilobebeka hata kwa toroli?

Kwa mimi. . . Lawyer klorokwini niliwahi kudhani analipa ila kuja kutahamaki. . . ni mmoja wa vibabu vya humu alafu kitambi tangu utotoni mpaka leo anabeba. Kwahiyo siku hizi naogopa 'kudhani'. . . sitaki kubaki mdomo wazi siku nikukubali kidate kwa PM.
Hata wewe Dr. Eliza nilikuwa na kuchukulia Binti kumbe tayari ni LISHANGAZI.

Pamoto humu...
Hao wazee uliowalonda miaka hiyo , kwa Sasa ndio unaendana nao.
 
Dr Lizzy habari ya miaka? Sasa huyo alta ego ni Lizzie au Lizzy maana naona kama wako 3
Habari ni zile zile Jr...
Mpya ni kwamba you've been missed sana!! Nafurahi kuona bado upo around. 🤗

Lizzy 😁😁😁

Huyo Lizzie inawezekana huwa ana-take over bila sisi wengine kujua .
 
Hata wewe Dr. Eliza nilikuwa na kuchukulia Binti kumbe tayari ni LISHANGAZI.

Pamoto humu...
Hao wazee uliowalonda miaka hiyo , kwa Sasa ndio unaendana nao.
Kwani binti anaishia umri gani??

Maana kwa wazee wangu, hata nikisha-celebrate birthday yangu ya miaka 46 next week bado ntabaki kuwa binti yao.🤓
 
Habari ni zile zile Jr...
Mpya ni kwamba you've been missed sana!! Nafurahi kuona bado upo around. 🤗

Lizzy 😁😁😁

Huyo Lizzie inawezekana huwa ana-take over bila sisi wengine kujua .
You have been missed sana this side as well. M happy I got a glimpse of the old Lizzy (The chakaramu alta ego) 😂

Zile kesi unapataga halafu huelewi ziliyokeaje ndio the doing ya Lizzie sasa
 
Back
Top Bottom