Erotica
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,513
- 1,735
Hehehe. . . .basi mweke Preta badala ya Cookie pale.
Yani hapo ndo ujue umeshaendewa kwa babu. . .lolz
Sijui utasema umeipata wapi!! Hhhmmm. . .kama Mwali atasema sasa. . . .
Mie ninachoshangaa nikiona post ya Cookie napata mshtuko wa kumuona mwanaume sio
mwanamke mwenzangu kama kwa Preta. Preta anaongoza kwa mishtuko kwa wadada.
Last edited by a moderator: