Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

Hehehe. . . .basi mweke Preta badala ya Cookie pale.

Yani hapo ndo ujue umeshaendewa kwa babu. . .lolz
Sijui utasema umeipata wapi!! Hhhmmm. . .kama Mwali atasema sasa. . . .

Mie ninachoshangaa nikiona post ya Cookie napata mshtuko wa kumuona mwanaume sio

mwanamke mwenzangu kama kwa Preta. Preta anaongoza kwa mishtuko kwa wadada.
 
Last edited by a moderator:
hahaha mkuu unataka kuwapiga Ban nini wapumzike? lol
Hao wanafurahia uchumba wangu na Lizzy , andaa mchango wa harusi mkuu, soon tunakuletea kadi
Kloro embu acha hizo. . .
Baada ya kuambiwa na Invi kwamba ni-hot. . .kina nyie siwataki tena. Pesa za mchango wa harusi nachukua. . .tutaonanaga.
 
Last edited by a moderator:
Uwifi ufe tena?
Almanusura nimwagiwe tindikali kwa ajili yako?

Kwani kunani?

Kongosho
Si nashangaa kaka yako anatajwa na wewe unachekelea tu. . .
Bado NAKUKUNDA lakini!
 
Last edited by a moderator:
Mi namuona kama Ricky Martin or Stephen Gately type of hot, if you know what I mean. lol


Haya baba di caprio. Mi hadi nikuone ndio niamini
Halafu nina mashaka wewe ndie kibabu cha Husny

Hahahahaha. . . for real?!Inawezekana lakini aisee, ila binafsi naimagine ka-pretty boy flani hivi.
 
Unichukie una jeuri.

Nimeona imvisibo kakuamkia, umepata mganga mpya siku hizi?

Hebu nipe ujuzi.

Kongosho
Si nashangaa kaka yako anatajwa na wewe unachekelea tu. . .
Bado NAKUKUNDA lakini!
 
Last edited by a moderator:
Semeni watu wenu, mimi kitu kama hakina trade mark ya mtu napotea nacho! teh teh teh

Erotica don't push it. . .
Wengine tuna aibu zetu. . .embu tupe break!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom