Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

Last edited by a moderator:
Hakuna mtu ninaye M miss humu J.f. kama @afrodenzi wacha nakosa raha moyoni mwangu nifanyeje lakini badala yake wewe upo @Lizzy hapajaharibika kitu.
Yeahhh mi ntamsaidia majukumu yake humu kwa muda. . .akorudi namkabidhi!!
 
Obstacle gani tena TF? Mi sina mtu humu ndani,
Nina Uncle yangu ( Kaizer) na anti ( AshaDii)
Wakikubali hao sioni nini kinaziwia tena...
Ukiskia Mwali ndio mimi, na mimi ndio Mwali.
Well well me love this naona kutakuwa hakuna obstacle since Kaizer is my brother and AshaDii is my shemeji
 
Last edited by a moderator:
Khaa! Haya mshiki Lizzy ukifanikisha kwa huyo mkware The Finest usisahau kunipigia debe na mimi kakako mpendwa tuliyetoka mbali. Mpaka sasa mi ndo naongoza kwa kupigwa vibuti. Hii si nzuri kwenye ukoo wetu. Tutazaa majambazi tusiposaidiana kwenye hii ishu nyeti ya kibaiolojia.
Hahaha nilijua tu.
 
Last edited by a moderator:
"Hot" in what sense? Mmewahi kukutana macho kwa macho na hao mnaowaita "hot", au kigezo cha kuwaita "hot" ni labda tu perceived popularity, demonstrated intellect, majigambo etc yanayotokana purely na maandishi mnayosoma jukwaani kutokana tu na uwezo mkubwa na umarufu wa watu fulani usiowajua kutumia lugha kimaadishi?
 
Yeahhh. . .mwenyewe niliona hivyo nikanawa mikono. Fynest is a true gentleman. . he won't let you down.

Tangia lini TF akawa m jentoman? Acha kumpoteza mwenzio.
Jentoman bishanga bana!
 
Back
Top Bottom