Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kutokana na uzoefu wangu hapa duniani nimegundua kuwa wanaume wa ki-Tanzania wana jua majukumu yao. Wanahakikisha mambo ya nyumbani yametulia kabla hawajaanza kujifikiria wenyewe.
Si ajabu kumkuta mwanaume ana suruali moja au mbili tu lakini anajenga nyumba na watoto wanakwenda shule.
Nchi hizi za jirani zetu zenye kuiga uzungu mwingi, mwisho wa mwezi mwanaume anakwambia weka sehemu mchango wako wa budget mezani kabla hujaenda saloon. Nimeshuhudia mume akitembea na remote control kwenye brief case kisa mke hakuchangia LUKU.
Wanaume wengine wanaokaribiana na wabongo kwa kutunza wanawake ni wa Ghana. Hawa mshahara wako hutaulizwa unakwenda wapi lakini siku mkitoka usimtie aibu mbele ya rafiki zake eti umevaa dera la elfu tano.