Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana moyo wa kupondeka, basi tu
Haha watu wavumbuzi wa vitu vingi teh
Kutokana na uzoefu wangu hapa duniani nimegundua kuwa wanaume wa ki-Tanzania wana jua majukumu yao. Wanahakikisha mambo ya nyumbani yametulia kabla hawajaanza kujifikiria wenyewe.
Si ajabu kumkuta mwanaume ana suruali moja au mbili tu lakini anajenga nyumba na watoto wanakwenda shule.
Nchi hizi za jirani zetu zenye kuiga uzungu mwingi, mwisho wa mwezi mwanaume anakwambia weka sehemu mchango wako wa budget mezani kabla hujaenda saloon. Nimeshuhudia mume akitembea na remote control kwenye brief case kisa mke hakuchangia LUKU.
Wanaume wengine wanaokaribiana na wabongo kwa kutunza wanawake ni wa Ghana. Hawa mshahara wako hutaulizwa unakwenda wapi lakini siku mkitoka usimtie aibu mbele ya rafiki zake eti umevaa dera la elfu tano.
Ubarikiwe kututia moyo
hahahahaha! mnapewa sifa za bure mnapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa hapo
na WADAR WAPO KATIKA HILI?
basi kilichobaki ni kumshukuru MUNGU then ulale ,usije ukaharibiwa your nighthhhahaha u made my night yaan nimetoa kicheko khaa! bora uulize
Duh! Tunakushukru, ila ngoja tusubiri matokeo zaidi.Kutokana na uzoefu wangu hapa duniani nimegundua kuwa wanaume wa ki-Tanzania wana jua majukumu yao. Wanahakikisha mambo ya nyumbani yametulia kabla hawajaanza kujifikiria wenyewe.
Si ajabu kumkuta mwanaume ana suruali moja au mbili tu lakini anajenga nyumba na watoto wanakwenda shule.
Nchi hizi za jirani zetu zenye kuiga uzungu mwingi, mwisho wa mwezi mwanaume anakwambia weka sehemu mchango wako wa budget mezani kabla hujaenda saloon. Nimeshuhudia mume akitembea na remote control kwenye brief case kisa mke hakuchangia LUKU.
Wanaume wengine wanaokaribiana na wabongo kwa kutunza wanawake ni wa Ghana. Hawa mshahara wako hutaulizwa unakwenda wapi lakini siku mkitoka usimtie aibu mbele ya rafiki zake eti umevaa dera la elfu tano.
NaamKutokana na uzoefu wangu hapa duniani nimegundua kuwa wanaume wa ki-Tanzania wana jua majukumu yao. Wanahakikisha mambo ya nyumbani yametulia kabla hawajaanza kujifikiria wenyewe.