Wanaume wa ki-Tanzania wengi wao wanajua majukumu yao nyumbani

Wanaume wa ki-Tanzania wengi wao wanajua majukumu yao nyumbani

Mmh tunawashukuru kwa wale ambao familia zao ndo priority zao za kwanza, ila kiukweli sio wote. Naona lundo la wanaume wabinafsi linavyozidi kushamiri. Naziona familia nyingi sana ambazo zinateseka au mama ndo amegeuka baba kimajukumu kwa sababu baba ameamua kuinvest kwa vimada na bar. Mungu anawaona
Haya mambo ya kuinvest kwa ki mada sikubukiishiwa kumdai huwezi
 
Kama mtu anaishi nyumba ya kupanga ila still anaitunza familia yake kadri ya uwezo wake, huyu anaweza kueleweka. Maybe maisha hayajawa smooth kwake kihivyo kwake au maybe kipato kikubwa anakitumia kwenye kuinvest kwenye elimu ya watoto wake na welfare nyingine, bado utegemezi wa wazazi, ndugu jamaa na marafiki.... Angalau he is responsible, inaeleweka japo ndo hivyo tena

Hapa tunamsemea mtu mwenye kipato lakini hajali familia. Nyumbani watoto hawapati lishe bora ila baba kajaza fridge kwa mchepuko. Nyumba inapokaa familia imechokaaa ila baba kashusha mjengo kwa kimada, kama sio kuweka heshima bar. Wababa wengine wanajijali tu wao mmh, watoto wanaishi maisha as if baba hayupo kabisa khaa. Aliyezishika fahamu za watu hawa, Mungu anawaona.
Limbwata at work[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
mungu halali...nilipokutongoza ukaniona sifai...leo hii uliyemkubali ana michepuko rundo nzima hata matunzo ameyahamisha hakufai kwa lolote...ya nini kulalamika sijui mwanamme wangu hanijali sijui blah blah...wa kwangu matunzo anapokea tena mshahara wake sitaki kujua ana mipango ipi nao....achangie akitaka ila simpi presha za bure..ng'ang'ana na hali yako wacha kujitia majungu wakati huyo mumeo ulimchagua wewe...
asante mtoa mada kwa kuwakumbuka wanaume halisi
 
Kutokana na uzoefu wangu hapa duniani nimegundua kuwa wanaume wa ki-Tanzania wana jua majukumu yao. Wanahakikisha mambo ya nyumbani yametulia kabla hawajaanza kujifikiria wenyewe.

Si ajabu kumkuta mwanaume ana suruali moja au mbili tu lakini anajenga nyumba na watoto wanakwenda shule.

Nchi hizi za jirani zetu zenye kuiga uzungu mwingi, mwisho wa mwezi mwanaume anakwambia weka sehemu mchango wako wa budget mezani kabla hujaenda saloon. Nimeshuhudia mume akitembea na remote control kwenye brief case kisa mke hakuchangia LUKU.

Wanaume wengine wanaokaribiana na wabongo kwa kutunza wanawake ni wa Ghana. Hawa mshahara wako hutaulizwa unakwenda wapi lakini siku mkitoka usimtie aibu mbele ya rafiki zake eti umevaa dera la elfu tano.
50/50

"the highest risk should give maximum profit"
 
Limbwata si mnaendaga kulitafuta wenyewe na kuhangaika kwenu. Mfyuuu zenu
Kuna magroup ya whatsapp yana haribu dada zetu. Huko wanafundishana mbinu za kumkamata mwanaume asitoke awe kama zuzu. Lakini mungu anawaona.





Hakuna mwanaume anaenda kutafuta limbwata. Ila dada zetu wa dangaji ndo chanzo. Unaweza fall in love kwa mtu asie sahihi. Cha muhimu ni kuomba mungu akupe macho ya rohoni
 
Back
Top Bottom