Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongea vizuri na sky atakuelewesha ukiisha kuelewa usisite kunielewesha na mimi siku nyingine ila kwa leo sihitaji kuingiza kitu kipya kama hikihili somo binafsi sijalielewa! ngj wahenga wengn wachangie! sijajua maana ya neno MAJUKUIMU ni package ya aina gani!
Ni kweli kabisa, wanaume wengi hata nguo za kubadili ni shida lakini atahakikisha anajenga na kupeleka watoto shule, hiyo ni good spirit.
Ongea vizuri na sky atakuelewesha ukiisha kuelewa usisite kunielewesha na mimi siku nyingine ila kwa leo sihitaji kuingiza kitu kipya kama hiki
Mimi nilishaatukia hii mwanaume wa designer gear atakwepa majukumu ili apate pesa ya viwalobas mnatofautiana! kujenga nyumba sio ishu kwan hatujachangia! hyo ya kusema kubadili nguo kwao ni shida (huenda ni
wewe) kuna wanaume (baadhi) kwa week anakuja na trauza 4,shirt 2,raba kali 1! next week anaweza kuja na mikanda ya
suruali 2! next week akaja na tsht kali 2, (na za wanae ukumbuke hilo) week ya mshahara sasa ndo week za kujitapikia kwa ulevi!bata batani! yuko radhi achome mafuta ya 50000/ akale nyama!
jitahid sana kujitofautisha na hawa mbweha mdogo angu! sasa najiuliza kujali majukumu ya ndani kivipi?Kisa mkeo ana
kakazi kake bas unajisahau wwweeeeeeeeeeeee! upande wa khanga hujawah mnunulia ...! kazi kumsifia tu! shuibaaamitt!
alafu tuje tupate 'pumziko' sehem tulivu muanze kuconclude WANAWAKE SIJUI WANATAKAGA NINI!, HAWAELEWEKI!
na blah blah kibaoo! PUMBAVU ZAO WANAUME DESIGN HII! BAN HYOOOOOOOOOOO!
SAMAHANINI NILIKUA NNAOTAA!
Utakuwa mpweke na mwenye huzuni sana uzeeniMimi kwa upande wangu kifedha najiweza ila sipendi majukumu, so kuja kuoa na kupata watoto sitaki Sky Eclat espy Heaven Sent
Kinyume chake na wao watazeekea kwenye nyumba za kupangaNa heshima ya mwanaume mjini ni watoto wapate akili wakiwa kwenye nyumba yao, si nyumba ya kupanga!
kweli leo tumekumbukwa.
Mimi nilishaatukia hii mwanaume wa designer gear atakwepa majukumu ili apate pesa ya viwalo
Vitu muhimu katika mahitaji ya binadamu kama ni mwanaume anaejielewa atahakikisha familia Ina ma hali pa kulala, chakula, elimu ya watoto ikiwezekana na ya mama yao pamoja na huduma za afya
Ni hali ya maisha tu lakini nyumba ya kupanga siyo ya kukaa kwa muda mrefu mkuu. Ninakumbuka mshkaji wa karibu alifia na mama yake mwenye nyumba alikataza matanga ilibidi tulilie hospitali