Wanaume wa ki-Tanzania wengi wao wanajua majukumu yao nyumbani

Mimi makaka wa JF ninawapenda hata socks zikinuka ninawaeleza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mhhhh sidhani kama watakubaliana na wewe hawashindwi kukwambia kwamba una ugonjwa wa pua ndio maana unaskia harufu za ajabu
 
Nilishaambiwa zinanuka za huyo niliye nae si za kwao
 
Ni research results au hypothesis

Post sent using JamiiForums mobile app

inategemea na njia iliyotumika. kama ni induction basi ni results zilizopelekea kutengeneza hypothesis, na kama ni deduction basi inaanza hypothesis then results ambazo kazi yake kubwa ni ku-verify au ku-falsify hypothesis au model au theory. Halafu ukumbuke induction haina generalisation kwenye population wakati deduction ina generalisation kwenye population kwa kupitia sample. Population amekwisha isema yaani features zake.

Sasa je swali lako ni kutaka kujua kama ni verified hypothesis au formulated hypothesis ambayo inahitaji data nyingine ili ku-support au la?

Au unataka kumtisha [HASHTAG]#sky eclat[/HASHTAG] na terminologies za scientific research? Kwa kifupi [HASHTAG]#sky eclat[/HASHTAG] anasema research yake ni exploratory na imepelekea kutengeneza hiyo hypothesis ingawaje inaonesha amefanya nyingi kiasi kwamba ana-confirm hiyo hypothesis. Lakini simwekei maneno mdomoni na kwenye mind yake.
 
Mada hadhimu kabisa... binafc yangu nimeona kwa daddy angu mlevi lakin hasahau majukumu yake..R.I.P. my daddy.. pia cjawah kuwaza kuish au kuolewa na Taifa tofaut most of men iz selfish!

Post sent using JamiiForums mobile app

hata mimi baba alikua mlevi km mkuu wa mkoa mmoja hv (full nyagi hata kwa sura) lakini hatujawah sikia mama

analalamika chchte! mpk leo ana miaka 73yrs mkew(mama) anampa gud tym za kufa mtu! mamangu mie ht augue' tonsils'

tu utamwona anapelekwa hosp na baba!full kudekezwa! huwa namwambia mama nataman sana ningepata mume km baba

jaman! sasa mianaume yetu hii jaman jaman! eti umwambie nahis kichwa kinauma panadol zimeisha atakuambia sawa

nitakuja anzo ! anakuja nazo saa7 usk !!!!!!!!! atokee wa kuniletea panadol mie ninaposikia kuumwa walah nasema km

nitakukumbuka walahi! ova ilizaliwa majalalani! lenyewe sasa liugue linataka attention had kwa kuku! Ee Mwenyezi MUNGU mlinde sana baba na mama angu!
 
inategemea na njia iliyotumika. kama ni induction basi ni results zilizopelekea kutengeneza hypothesis, na kama ni deduction basi inaanza hypothesis then results ambazo kazi yake kubwa ni ku-verify au ku-falsify hypothesis au model au theory. Halafu ukumbuke induction haina generalisation kwenye population wakati deduction ina generalisation kwenye population kwa kupitia sample. Population amekwisha isema yaani features zake.

Sasa je swali lako ni kutaka kujua kama ni verified hypothesis au formulated hypothesis ambayo inahitaji data nyingine ili ku-support au la?

Au unataka kumtisha [HASHTAG]#sky eclat[/HASHTAG] na terminologies za scientific research? Kwa kifupi [HASHTAG]#sky eclat[/HASHTAG] anasema research yake ni exploratory na imepelekea kutengeneza hiyo hypothesis ingawaje inaonesha amefanya nyingi kiasi kwamba ana-confirm hiyo hypothesis. Lakini simwekei maneno mdomoni na kwenye mind yake.
Yamekuwa hayo kaka?
 
Kutokana na uzoefu wangu hapa duniani nimegundua kuwa wanaume wa ki-Tanzania wana jua majukumu yao. Wanahakikisha mambo ya nyumbani yametulia kabla hawajaanza kujifikiria wenyewe.

Si ajabu kumkuta mwanaume ana suruali moja au mbili tu lakini anajenga nyumba na watoto wanakwenda shule.

Nchi hizi za jirani zetu zenye kuiga uzungu mwingi, mwisho wa mwezi mwanaume anakwambia weka sehemu mchango wako wa budget mezani kabla hujaenda saloon. Nimeshuhudia mume akitembea na remote control kwenye brief case kisa mke hakuchangia LUKU.

Wanaume wengine wanaokaribiana na wabongo kwa kutunza wanawake ni wa Ghana. Hawa mshahara wako hutaukizwa unakwenda wapi lakini siku mkitoka usimtie aibu mbele ya rafiki zake eti umevaa dera la elfu tano.
Wewe ni wa kipekee

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
It's true wanaume wengi wa kitz it's better they die trying kuiweka familia sawa

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
Kutokana na uzoefu wangu hapa duniani nimegundua kuwa wanaume wa ki-Tanzania wana jua majukumu yao. Wanahakikisha mambo ya nyumbani yametulia kabla hawajaanza kujifikiria wenyewe.

Si ajabu kumkuta mwanaume ana suruali moja au mbili tu lakini anajenga nyumba na watoto wanakwenda shule.

Nchi hizi za jirani zetu zenye kuiga uzungu mwingi, mwisho wa mwezi mwanaume anakwambia weka sehemu mchango wako wa budget mezani kabla hujaenda saloon. Nimeshuhudia mume akitembea na remote control kwenye brief case kisa mke hakuchangia LUKU.

Wanaume wengine wanaokaribiana na wabongo kwa kutunza wanawake ni wa Ghana. Hawa mshahara wako hutaukizwa unakwenda wapi lakini siku mkitoka usimtie aibu mbele ya rafiki zake eti umevaa dera la elfu tano.
Bora ata umetukumbuka

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom