Wanaume wa ki-Tanzania wengi wao wanajua majukumu yao nyumbani

Wanaume wa ki-Tanzania wengi wao wanajua majukumu yao nyumbani

Kuna magroup ya whatsapp yana haribu dada zetu. Huko wanafundishana mbinu za kumkamata mwanaume asitoke awe kama zuzu. Lakini mungu anawaona.





Hakuna mwanaume anaenda kutafuta limbwata. Ila dada zetu wa dangaji ndo chanzo. Unaweza fall in love kwa mtu asie sahihi. Cha muhimu ni kuomba mungu akupe macho ya rohoni
Wenye wake tulieni na wake zenu, kuhangaika ndo kunawaponza.
 
daaah umejuajeeeeeee...., thanks for appreciation.

Afu akina nanihii punguzeni magezeti leo...
 
Hui ndo ukwel ukienda nchi nyingine kama msumbiji mtu anamilizia mshahara Kwa mavaz n'a pombe. Mwanaume anaendesha fortunér Ila nyumba ya tope. Mtz akiwa bar utasikia kile kidume changu cha St. Fwezas kimeramba one y'a saba Kumbe Kina four. Sifa y'a mzaz wa kibongo ni ufaulu mzuri. Unakuta mzaz mwingine mshahara laki nne nyumba chumba n'a sebule Ila Mtoto St. Joseh ada million mbili. Ndo Maana kadr siku zinavoenda shule za serikal wateja wanapungua hasa mijin
 
Back
Top Bottom