Wanaume wa kiafrika ni dhaifu sana mbele ya wanawake.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Wanaume wa kiafrika ni dhaifu Sana mbele za wanawake.

Kupitia udhaifu huu wameharibu Kazi zao zilizokuwa zinawasaidia kuendesha maisha na kuwapa heshima.

Udhaifu huu umewafanya wameharibu ndoa zao zilizofungwa Kwa gharama kubwa ya pesa na sala na mizimu.

Pia kupitia udhaifu huu umesababisha wanaume wengi wakiafrika kutengeneza idadi kubwa ya watoto wasio na baba Mtaani .

Kila utakapokutana na MTU anajuta basi majuto yake mengi yatakuwa yanahusiana na Wanawake jinsi walivyoitawala akili yake hadi kupoteza kila kitu.

Wanaume wakiafrika wapo na ukakamavu wa kimuonekano tu but not mentally.

Mwanaume wakiafrika hana uwezo wa kumsaidia mwanamke hivi hivi bila kumuhitaji kingono.

Japo wachache wanaweza.

African men are very weak .

Ukiwa hauwezi kuji-control emotionally means wewe ni dhaifu.

MTU anajua kuwa ana familia Ila anaamua kuitelekeza na kukimbilia Kwa mchipuko kid 🤔

Grown men are rare in Africa .
 
1729890423217.jpg
 
Min me leo umeamka na jf hujalala na hang over nn?
Tunaonekana dhaifu kwa sababu hatuna chetu cha asili kwanzia elimu , uchumi tamaduni desturi na dini ,kazi yetu ni kudandia vya vyatu tu ndio maana tunapwaya🤔
 
Desturi zetu za jando na unyago zilikua nzuri sana kwetu🤔
Lakin kuna chembe chembe za historia zinadai afrika mifumo ya maisha ya kisasa ndo inasababisha kunakaza upande wa mwanamke. Inaonekanq zamani kulikuwa na mfuko wa haki ngazi ya kijiji. Kulikuwa na vikao vya kijiji kutatua matatizo ya kila familia katika kijiji kile
 
Wanaume wa kiafrika ni dhaifu Sana mbele za wanawake.

Kupitia udhaifu huu wameharibu Kazi zao zilizokuwa zinawasaidia kuendesha maisha na kuwapa heshima.

Udhaifu huu umewafanya wameharibu ndoa zao zilizofungwa Kwa gharama kubwa ya pesa na sala na mizimu.

Pia kupitia udhaifu huu umesababisha wanaume wengi wakiafrika kutengeneza idadi kubwa ya watoto wasio na baba Mtaani .

Kila utakapokutana na MTU anajuta basi majuto yake mengi yatakuwa yanahusiana na Wanawake jinsi walivyoitawala akili yake hadi kupoteza kila kitu.

Wanaume wakiafrika wapo na ukakamavu wa kimuonekano tu but not mentally.

Mwanaume wakiafrika hana uwezo wa kumsaidia mwanamke hivi hivi bila kumuhitaji kingono.

Japo wachache wanaweza.

African men are very weak .

Ukiwa hauwezi kuji-control emotionally means wewe ni dhaifu.

MTU anajua kuwa ana familia Ila anaamua kuitelekeza na kukimbilia Kwa mchipuko kid 🤔

Grown men are rare in Africa .
Utafiti umefanyika?
 
Uko sahihi , hata uende kukaa na wazee wa miaka 50 bado wanajadili mambo ya ngono .
 
Wanaume wa kiafrika ni dhaifu Sana mbele za wanawake.

Kupitia udhaifu huu wameharibu Kazi zao zilizokuwa zinawasaidia kuendesha maisha na kuwapa heshima.

Udhaifu huu umewafanya wameharibu ndoa zao zilizofungwa Kwa gharama kubwa ya pesa na sala na mizimu.

Pia kupitia udhaifu huu umesababisha wanaume wengi wakiafrika kutengeneza idadi kubwa ya watoto wasio na baba Mtaani .

Kila utakapokutana na MTU anajuta basi majuto yake mengi yatakuwa yanahusiana na Wanawake jinsi walivyoitawala akili yake hadi kupoteza kila kitu.

Wanaume wakiafrika wapo na ukakamavu wa kimuonekano tu but not mentally.

Mwanaume wakiafrika hana uwezo wa kumsaidia mwanamke hivi hivi bila kumuhitaji kingono.

Japo wachache wanaweza.

African men are very weak .

Ukiwa hauwezi kuji-control emotionally means wewe ni dhaifu.

MTU anajua kuwa ana familia Ila anaamua kuitelekeza na kukimbilia Kwa mchipuko kid 🤔

Grown men are rare in Africa .
Wakishapata pesa mawazo yao ni wanawake,ujinga ni pale wanaposahau ndoa zao ambazo nyingi ndio msingi wa mafanikio yao....
 
I agree with you Ila ukianza kumuona mwanamke Kama MTU na sio chombo means unakuwa umeanza kukomaa mentally .

Women , wana offer mambo me ng I and not only sex .
Nakubaliana na wewe ila nataka nikuchallenge kidogo wewe unazani ni kwanini baadhi ya wanawake wanachukuliwa kama chombo cha starehe? Unafikiri ni kwa bahati mbaya au kuna reason behind ya hiki?
Natafuta Ajira
 
Back
Top Bottom