Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

wakurya deep love tunaijua..! mambo ya kupiga wanawake nowadays hayapo!

endapo mdada atakuwa mtulivu kama mleta uzi alivyosema, hakika utam wa penzi la kikurya utaupata...

mkurya si mtu wa porojo, si mtu wa kubishana hovyo na sweetie wake..

hizi ni criteria muhimu zinazotuweka kwenye kundi maalum la supply of sweet love!! unendless love..

Hamkawii kugecha
 
Yaap! I hv one from there bt we still investigate one another....you wanna send me one?

Infact we knew each other recently.
How is she? her education level?
lets start there, i can help u in that CID segment. lol
 
Kuchange ni kutoa damu... KIFO hicho
kweli mkuu. Kumnyima mkurya panga ni sawa na kumwambia mzaramo akome kucheza minanda and the alike..
binafsi bado nina element nyingi sana za kwetu:confused2:, ila najua wapi pa kuzitumia. hahahaaa!
Laws of nature are complex and hard to change my friend.
 
Hiyo inakuwa hivi kuna wamama watu wazima na wabibi wengi wao hawakubahatika kuwa na watoto. Sasa kama kuna kasichana anaenda kukachumbia kwa wazazi wake, ng'ombe zinamtoka kwa mahari hapo.

Ili familia iendelee yule binti ataruhusiwa kuzaa na mwanaume ila akijulikana bibi ndio mume na ndio mtunza familia. hope umenipata my wii mtarajiwa.

Wewe bantu lady ndo unasemaje ivyo?

Ntare bhuya oghokora ila tc juc my opinion
 
Mhhh kuna kaka m1 mkurya anani-approach,yani kila nikiwaza kabila lake naahirisha hata kupokea simu yake,Mungu aniepushie mbali vipigo

Usiogope hakuna kipigo bana ishu ni kuwa ndio iwe ndio na hapana ni hapana kweli
 
Tata wanee..ntabharujirii..oni tiga nigende okumrimi.
 
Dada yangu kaolewa huko kwa wakurya hamna lolote la maana zaidi Ya ukoo mzima kutaka kuhamia kwake. Mume mwenyewe cha uvivu dada ndo anamweka mjini.
Hakuna cha kupendwa wala upendo.
Mume ni kuchepuka kila kukicha
 
Back
Top Bottom