ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,766
- 3,595
Labda wasukuma wa mjini not ntuzu original wee afadhali mkurya.
labda alikuwa wa mjin ..so ntafute mkurya original eeeeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wasukuma wa mjini not ntuzu original wee afadhali mkurya.
Labda wasukuma wa mjini not ntuzu original wee afadhali mkurya.
eyeyeyeee!unaleta uteam nanihii eh!ntataja mie aafu waione wadau.
Hahahhaha hapa nimebanwa inabidi tu niwatetee kaka zangu wakurya, jamani wadada wote mkitokewa na wakurya kubalini wanajua kucare sana.
Wa mjini hawapigi ila nyie hampendi kuonyeshwa kama mnapendwa?
Zaidi kaka zangu wakurya ni mahandsome acha kabisa.
njøo kimya kimya baba Ghati akikuona mi simo tena ukifika nisubiri pale dukani kwa mangi ntajifa naenda kununua kiberiti.Oooops!!!! Sina maana hiyoo. Leo nakupitia nasikia ile njia ya kwenda kwenu imefunguliwa hakuna foleni tena.
ha ha ha ha ha!!!!!! safi sana Bantu lady unajua matumizi ya lugha ya picha, nimewafahamu wakurya siku za karibuni tu lakini uongo dhambi sijawahi onana na mkurya mrembo wala mkurya handsome, ila nilokutana nao wale wa kiume ni wazuri kuliko wale wa kike..
yani wifi mi ndo maini yamekatika kabisaa.
Duh wewe naona unakutana cjui wa wapi japo kila kabila lina watu hawana sura za kuvutia sikatai.
Wengine sisi labda kwaajili ya kuchanganya makabila, kama mimi watu hukataa kama ni mkurya nashangaa nani aliwaambia wakurya ni wabaya hahhahaaa.
Wanaume wetu ni mahandsome nashukuru hata wewe umelikubali.
ndo najitahidi hapa nione itakuaje atii.Wifi wasikutishe hao wanaowasema ni wale wa kijijini, ila tuliozaliwa mjini huku hayo tunayasikia tu kama wengine. Hebu ongea vizuri na kaka Molembe.
jamani ukiwa msukuma ndo habari ya mjini tunajua kuhonga
Wee Msukuma? Mi natafuta msumkuma atii.
Huna ndugu wengine huko?
Ukiona mtu anasifiwa kwa kuhonga ujue domozege hawezi tongoza,
ndoa za kikurya they are the strong marriage than all, reseach has shown. amang'ana mogaka?
Wanaojua kupenda huwa hawajinadi...ni dalili mbaya sana!
Wakurya? ni zigo la moyo...(samahani lakini)
Wakurya n wababe kwa ujumla,wanapiga sio tu wanawake,hata wanaume,wanaume wa makabila mengne huwaogopa pia wakurya,wakurya ni vidume mtaani,wanaogopwa na jinsia zote,wakurya oyeeeeeeee!
Pili,tabia ya kupiga wanawake haiko kwa wakurya tu,ni tabia ya mtu binafsi,cric brown alimtwanga rihana wima wima hadharan kwan nae n mkurya?
Mwisho,am proud kuwa mkurya,wanawake n kitu kngne,usipokua makin ataku........!na huo ujinga ndio wakurya hatuintatein!