Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anakugecha nyakimeni.
Hao ngumi kuachaaa!!labda kama sio wakuryaa nakuambiaaa

Ni kwamba wanayajua mapenzi sana,wana mafanikio sana au wameacha ile tabia yao ya kupiga mangumi wake zao?maana siku hizi hapa mjini mabinti wenzangu naona kama ndo fashion,kila shoct wangu anamilikiwa na mwanaume wa kikurya!
Tunaongelea kwa nchi wewe......kwani kariakoo ndio nchi nzima....tembelea mikoa mingine kama hutawakuta hao wakinga sio wafanyakazi wa ndani.
" fanya haraka nikarare unanisika sika nini"
Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania(BOT),Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia pato la taifa.
1. Dar-es-salaam(GDP-7.5 trilion)
2. Mwanza(GDP-4.09 trilion)
3. Mbeya(GDP-3.2 trilion)
4. Shinyanga
5. Iringa
6. Morogoro
7. Arusha(GDP-2.1 triliom)
8. Tanga(GDP-2.09 trillion)
9. Kilimanjaro(GDP-2.03 trillion)
haaa haaaa tukuwoni buraza