Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

Mbona baby wangu mluguru,
-tall
-hansome
-msomi
-caring
-romantic
-anajua kuvaa
- msafiiiiii
ooohhh dear God thank u, sina cha kukupa. Asante wewe mama mluguru kwa kunizalia sabuni ya roho.

wanaume wa kiluguru vifupi vina gubu haha kumbe wapo wenye sifa zote hizo?if you are having such a man,you should love him truly.you seem to be a nice woman,your man should be proud of you

very sweet love words,I wish ungekuwa baby wangu
 
Waluguru ni watu makini na hawana shida ndogo ndogo tofauti na watu wa kaskazini ambao huko kwao njaa kali kazi kukimbilia morogoro na kulia lia njaa. Tumewafadhili sana humu Moro lakini hatimaye mnaleta madharau. Kweli Mfadhili Mbuzi Binadamu hutamuweza....
Uko matombo?
 
wanaume wa kiluguru vifupi vina gubu haha kumbe wapo wenye sifa zote hizo?if you are having such a man,you should love him truly.you seem to be a nice woman,your man should be proud of you

very sweet love words,I wish ungekuwa baby wangu[/QUOTE

ahaaaa wewe muluguru nini??? Ni kweli mna gubu? Afu mko vifupi?

Mm nishapata, kajaribu tuluguru twenzako tufupi twenye gubu, omba mungu atakupa hitaji lako.
 
Imekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa kanda ya kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi WALUGURU eti kisa KIMO/height yetu kwa taarifa tu sisi Waluguru ni watu wenye mapenzi ya dhati na ni watundu sana kitandani hakika ukipata mluguru umepata mume. Jambo hili la dharau halivumiliki hata kidogo maana hakuna aliyetaka kuzaliwa MFUPI.
HESHIMA HAIUZWI, Tuheshimiane tafadhali.
NB: Mkuu wa Mkoa (Mpya) tafadhali lizungumzie hili kwenye vikao vyenu ngazi za juu. Sio kukagua silaha tu. Linatuumiza sana kuliko hizo bunduki mnazotaka kukagua.
Hahaha,
Daah !!!!
 
kuwa muwazi basi mfupi wapi kwenda juu au kwenda chini ili tujue...
 
Back
Top Bottom