Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

Mie afadhali huo ufupi kuliko ubishi mliokuwa nao na kuongea kwa makelele, jumlisha kupenda ngoma katika mambo ambayo siyapendi kwa watani zangu(wanaume wa kilugulu)
aya mtani wetu kama hupendi ngoma KALAGA BAHO.......! ila jaribu siku moja kucheza mdundiko au vanga au mkwaju ngoma utajua raha yake. Zamani morogoro kuna mdundiko ulikuwa unaitwa KISAMANGO, pembeni unamkuta stage show anaitwa KUDURA n mwenziye alikuwa anaitwa ALI NDESO...daaah ilikuwa hatari mtani wangu, ila karibu ngomani uje ukonge nyoyo yako mtani wetu
 
Imekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa kanda ya kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi WALUGURU eti kisa KIMO/height yetu kwa taarifa tu sisi Waluguru ni watu wenye mapenzi ya dhati na ni watundu sana kitandani hakika ukipata mluguru umepata mume. Jambo hili la dharau halivumiliki hata kidogo maana hakuna aliyetaka kuzaliwa MFUPI.
HESHIMA HAIUZWI, Tuheshimiane tafadhali.
NB: Mkuu wa Mkoa (Mpya) tafadhali lizungumzie hili kwenye vikao vyenu ngazi za juu. Sio kukagua silaha tu. Linatuumiza sana kuliko hizo bunduki mnazotaka kukagua.
Tatizo lingine mnaongea sana
 
Kwa hiyo nyie kitu mnachofahamu ni mapenzi tu?
 
Daa kweri makelele ndo nyumbani kwao sina hamu nazile ngoma zao nibalaa hasa usiku ndo kilakitu hadhalan
 
Imekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa kanda ya kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi WALUGURU eti kisa KIMO/height yetu kwa taarifa tu sisi Waluguru ni watu wenye mapenzi ya dhati na ni watundu sana kitandani hakika ukipata mluguru umepata mume. Jambo hili la dharau halivumiliki hata kidogo maana hakuna aliyetaka kuzaliwa MFUPI.
HESHIMA HAIUZWI, Tuheshimiane tafadhali.
NB: Mkuu wa Mkoa (Mpya) tafadhali lizungumzie hili kwenye vikao vyenu ngazi za juu. Sio kukagua silaha tu. Linatuumiza sana kuliko hizo bunduki mnazotaka kukagua.
Dahhh....! pole kaka kwa yaliyokukuta, ila huyo hakukupenda mweyewe tu..kwa sababu ufupi au kabila sio kigezo cha kupendwa au kutokupendwa. au ushafanya utafiti kwa wangapi kutoka huko kaskazini? ushauri rudi ukaye kama vipi mbona wapo wengi tu wazuri, nenda tununguo, ngerengere,matombo, mikese, mvomero, mzenga,kidugalo,,,utapata wa kimo chako huko,kuna wazaramu, wadoe,waluguru, wakwere (hapa tunafanana)..pia waweza kwenda mgeta utapata tu wazuri
 
Ujumbe uwafikie wote mnawadharau ndg zetu wa kule malinyi bila kusahau matombo
 
Hiyo ndiyo Bantu from Kongo chukulia kawaidà MKUU uzuri wake hawakeketi kama makabila mengine
 
ha haa haa...kama kawa mkuu, tumeshtukia ishu, twasoma sasa hv mkuu ila mdundiko,mkwajungoma twacheza pia
 
Hiyo ndiyo Bantu from Kongo chukulia kawaidà MKUU uzuri wake hawakeketi kama makabila mengine
kukeketa msamiati mpya kabisa huo huku kwa kabila za pwani aiseeh, mluguru, mkwere, mzaramu ni kumfunda mwali na kumfundisha unyago, na namna bora ya kuishi na watu tu yatosha...hayo mengine twa wa achia kabila za huko bara yaani hayatuhusu mkuu
 
Back
Top Bottom