mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Watu wafupi watahesabiwa wawili kwa 1 katika sensa.
Maana hawajakamilika
Maana hawajakamilika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very trueWaluguru wanaongea jamani uwiiiii!!
Aahhgh kmmk[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pia angalia faida yake...maanake nyie dunia mtakuwa mnaiona ni kubwa sana.
Oa kwenu achana na majitu ambayo hayakupendiImekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa Kanda ya Kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi Waluguru eti kisa kimo/height yetu kwa taarifa tu sisi Waluguru ni watu wenye mapenzi ya dhati na ni watundu sana kitandani hakika ukipata mluguru umepata mume.
Jambo hili la dharau halivumiliki hata kidogo maana hakuna aliyetaka kuzaliwa mfupi. Heshima haiuzwi, tuheshimiane tafadhali.
NB: Mkuu wa Mkoa (Mpya) tafadhali lizungumzie hili kwenye vikao vyenu ngazi za juu. Sio kukagua silaha tu. Linatuumiza sana kuliko hizo bunduki mnazotaka kukagua.
Aisee Kwanza nipo kwenu uku Ila waluguru mnanishangaza snaa Kwanza roho yenu ya kazopata sijui Nani kawarithisha, wavivu wabishi kwenu dar ndyo kila kitu na hamkai ata mwaka miaka miwili mmerudi kwenuWaluguru Hatuboi
Job true true[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Job is available
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo kimo chenu chief[emoji4]