Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

Watu wafupi watahesabiwa wawili kwa 1 katika sensa.
Maana hawajakamilika
 
Imekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa Kanda ya Kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi Waluguru eti kisa kimo/height yetu kwa taarifa tu sisi Waluguru ni watu wenye mapenzi ya dhati na ni watundu sana kitandani hakika ukipata mluguru umepata mume.

Jambo hili la dharau halivumiliki hata kidogo maana hakuna aliyetaka kuzaliwa mfupi. Heshima haiuzwi, tuheshimiane tafadhali.

NB: Mkuu wa Mkoa (Mpya) tafadhali lizungumzie hili kwenye vikao vyenu ngazi za juu. Sio kukagua silaha tu. Linatuumiza sana kuliko hizo bunduki mnazotaka kukagua.

Oa kwenu achana na majitu ambayo hayakupendi

Wasichana wa kwenu ni wazuri and they deserve respect and love from you

Unakimbilia hao unaoona wa "maana" wa huko kaskazini sijui Kusini,sijui west halafu dada zako wanaokupenda of which you share ancestors and culture waolewe na nani?

Huoni kama wewe ndio baguzi namba moja kwa kubagua dada zako wa damu kabisa?

Human beings tend to see external discrimination hawaoni internal discrimination wanayofanya wao!

Hypocrites!
 
Waluguru Hatuboi
Aisee Kwanza nipo kwenu uku Ila waluguru mnanishangaza snaa Kwanza roho yenu ya kazopata sijui Nani kawarithisha, wavivu wabishi kwenu dar ndyo kila kitu na hamkai ata mwaka miaka miwili mmerudi kwenu
 
Back
Top Bottom