Wanaume wa kizazi cha sasa wengi ni legevu, hali inatisha sana

Wanaume wa kizazi cha sasa wengi ni legevu, hali inatisha sana

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Nyakati ngumu hutengeneza wanaume imara, wanaume imara hutengeneza nyakati zenye wepesi, nyakati zenye wepesi hutengeneza wanaume legevu, wanaume legevu hutengeneza nyakati ngumu.

Kukosa mazoezi - wengi wapo kwenye viti makazini au darasani muda mwingi, kutembea ni kidogo sana usafiri umekuwa rahisi, kulima skwa jembe mtu unakuta hawezi, n.k

Social media - instagram, whatsapp, facebook, n.k hapa mtu anaweza kutumia masaa zaidi ya mawili.

Gaming - nimeshuhudia mtoto yupo kwenye screen masaa 10

Porn (X) - watoto wadogo kabisa miaka 10 wanacheki x

Punyeto - siku hizi mtoto ana miaka 10 ashaanza kujilipua.

Watoto wa kiume kukosa malezi ya baba au mwanaume wa ku devote muda mwingi kumlea.

Ongezeko kubwa la utamaduni wa ushoga


Imekuwa rahisi kupata wanawake mitandaoni ama kwa simu tofauti na zamani
 
Bangi haileti ulegevu, labda hivyo vingine ulivyotaja.

Nilishatumia 'kitu' saana and now here I am, hata Zola D haoni ndani.
 
Bangi haileti ulegevu, labda hivyo vingine ulivyo taja.

Nilishatumia 'kitu' saana and now here I am, hata Zola D haoni ndani.
Mkuu mbona unataka wavutaji wote tuonekane hatuna maana? Mbona mtoa mada hajataja Bangi mahali popote pale?

Tatizo LA mjani bhana ukipiga lazima ujistukie, tafuta kitu kitamu mkuu upunguze makali kidogo kitu cha Leo kinaonekana kiko vizuri.
 
Vyakula vya GMO hivyo program ya iluminati Ili kupata genetic ya watu wanaokua haraka na kufa haraka
 
matokeo ya utandawazi, hata ulaya walishapitia kote huku, na ndomaana wapo jinsi walivyo sasa.
 
Mkuu mbona unataka wavutaji wote tuonekane hatuna maana?mbona mtoa mada hajataja Bangi mahali popote pale?

Tatizo LA mjani bhana ukipiga lazima ujistukie,tafuta kitu kitamu mkuu upunguze makali kidogo kitu cha Leo kinaonekana kiko vizuri.
Ame edit post yake.

Hahah.
 
Back
Top Bottom