Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
Niaje wazeiyaaah...
EBANA SAWA :
Mnajua nini mazee????
Nilikua najua kuwa ni wanawake wa jijini pekee ndio hushoboka wakiona mwanaume yupo ndan ya ndinga...
Kumbe aisee mikoani ndio balaa sasa..
Yaan baada ya kuzungukia hutu tumitaa twa hapa wanapaita jiji la Mwanza, karibu kila sehem napoenda...
Mabinti wanaonekana kupagawa na ndinga hii nayotembelea...
Asubuhi kidogo niondoke na mdada wa kibanda cha M-PESA pale buzuruga... Badala ya kunihudumia anashangaa jinsi nilivo smart na usafiri wa kueleweka huku nikitoa cm kali ya ki Engineer wakat natuma pesa kwa maza...
Haya mchana nikazama pande za pasiansi kule, nikazama hotel moja kupata lunch...
Wakat natoka cjui ni twanafunz tule, tunani kodolea macho hadi nasepa...
Maskin wangelijua kuwa gari yenyewe sio mali yangu, ni mali ya kampuni jaman...
Mkitaka kushangaa mkoko wangu ombeni ruhusa kwa baba zenu, kaka zenu na waume zenu mje dar nitawaonesha...
Wanaume wa mikoani waambieni wanawake wenu waache ushamba bana.... Masuala ya kuwashobokea wanaume wanaotoka jijini kuja mikoani sio issue wala nini...
Ngoja niteleze pande za nyegezi.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng