Wanaume wa mikoani.. Waambieni wake zenu, dada zenu, mabinti zenu waache ushamba!!!

loooo...hatuna shobo na magari kaka eee...tunashobo na wanaume wanaojitambua ,marijali na wenye hofu ya Mungu,,na upendo ...gari litaharibika lakini upendo uko palepale...nashoboka na hao,,,kwangu gari si kitu hata kidogo ...ila SHIKAMOONI MAINJIA WOTE NDIO TABIA ZENU MKIWA NA NDINGA HAMTULII KILA DAKIKA MNATAKA MUWE NJIANI MZURURE WEEEE....
Mwambie kuku uyuu..naona bado anastress za yule kunguni wake anayetoa maji kwa chini ka ametoboka
 
Naona stress za kale kachenchede kako kalikotoboka chini(kale kanakotoa mimaji non stop) bdo znakusumbua.Pole sana
 
Unamaanisha nini ukisema watu wa mikoani..? Kwani wewe unaishi hewani nini? Ninachojua mimi kila mtu anatoka kwe mkoa fulani. Mfano mkoa wa Dar, Arusha, Mwanza, Mbeya, Dodoma. Ninaelewa unachotaka kusema, embu acha kujiiunua kihiiivyo. Hata wewe una mkoa. Mwishoni usije sema wewe unaendesha gari na sisi tunatembelea mikokoteni.
 
Niaje wazeiyaaah...

EBANA SAWA :
Mnajua nini mazee????
Nilikua najua kuwa ni wanawake wa jijini pekee ndio hushoboka wakiona mwanaume yupo ndan ya ndinga...

Kumbe aisee mikoani ndio balaa sasa..

Yaan baada ya kuzungukia hutu tumitaa twa hapa wanapaita jiji la Mwanza, karibu kila sehem napoenda...
Mabinti wanaonekana kupagawa na ndinga hii nayotembelea...

Asubuhi kidogo niondoke na mdada wa kibanda cha M-PESA pale buzuruga... Badala ya kunihudumia anashangaa jinsi nilivo smart na usafiri wa kueleweka huku nikitoa cm kali ya ki Engineer wakat natuma pesa kwa maza...

Haya mchana nikazama pande za pasiansi kule, nikazama hotel moja kupata lunch...
Wakat natoka cjui ni twanafunz tule, tunani kodolea macho hadi nasepa...

Maskin wangelijua kuwa gari yenyewe sio mali yangu, ni mali ya kampuni jaman...

Mkitaka kushangaa mkoko wangu ombeni ruhusa kwa baba zenu, kaka zenu na waume zenu mje dar nitawaonesha...

Wanaume wa mikoani waambieni wanawake wenu waache ushamba bana.... Masuala ya kuwashobokea wanaume wanaotoka jijini kuja mikoani sio issue wala nini...

Ngoja niteleze pande za nyegezi.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng

Ukiona hivyo ujue unachuja
 
Jamani ee tupeni hata siku moja wanawake dunia nzima msitunzungumzie siku hiyo tuone kama maisha hayatoendelea.
 
Wanaume wa Dar bhana..kazi kutunisha vidole kwenye keyboard hapo scorpion akitokea unaweza kunya na suruali yako
Mkuu punguza kuongea ukweli aisee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
 
Dada wa kibanda cha M-pesa sijui wanafunzi najiuliza tu why wa sampuli hiyo ndo wakushobokee kama siyo vile vi yoyoyo wewe sijui.

Ukikua utaacha
 
Niaje wazeiyaaah...

EBANA SAWA :
Mnajua nini mazee????
Nilikua najua kuwa ni wanawake wa jijini pekee ndio hushoboka wakiona mwanaume yupo ndan ya ndinga...

Kumbe aisee mikoani ndio balaa sasa..

Yaan baada ya kuzungukia hutu tumitaa twa hapa wanapaita jiji la Mwanza, karibu kila sehem napoenda...
Mabinti wanaonekana kupagawa na ndinga hii nayotembelea...

Asubuhi kidogo niondoke na mdada wa kibanda cha M-PESA pale buzuruga... Badala ya kunihudumia anashangaa jinsi nilivo smart na usafiri wa kueleweka huku nikitoa cm kali ya ki Engineer wakat natuma pesa kwa maza...

Haya mchana nikazama pande za pasiansi kule, nikazama hotel moja kupata lunch...
Wakat natoka cjui ni twanafunz tulea
Maskin wangelijua kuwa gari yenyewe sio mali yangu, ni mali ya kampuni jaman...

Mkitaka kushangaa mkoko wangu ombeni ruhusa kwa baba zenu, kaka zenu na waume zenu mje dar nitawaonesha...

Wanaume wa mikoani waambieni wanawake wenu waache ushamba bana.... Masuala ya kuwashobokea wanaume wanaotoka jijini kuja mikoani sio issue wala nini...

Ngoja niteleze pande za nyegezi.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Wewe utakuwa engineer wa k###ma.
 
Buzuruga, Pasiansi, Nyegezi,,,mkuu unatafuta au unakula maisha?
 
loooo...hatuna shobo na magari kaka eee...tunashobo na wanaume wanaojitambua ,marijali na wenye hofu ya Mungu,,na upendo ...gari litaharibika lakini upendo uko palepale...nashoboka na hao,,,kwangu gari si kitu hata kidogo ...ila SHIKAMOONI MAINJIA WOTE NDIO TABIA ZENU MKIWA NA NDINGA HAMTULII KILA DAKIKA MNATAKA MUWE NJIANI MZURURE WEEEE....
Wewe mrombo,nyie si ndio mnakodi marijali kutoka Kenya?
 
Wanaume wa Dar bhana..kazi kutunisha vidole kwenye keyboard hapo scorpion akitokea unaweza kunya na suruali yako
Afadhali ya Scorpion anatisha,hao jamaa wanaharisha wakikimbizwa na panya road.
 
Back
Top Bottom