Wanaume wa mikoani.. Waambieni wake zenu, dada zenu, mabinti zenu waache ushamba!!!

Engenieer unazurura mitaani badala ya kufanya kazi we we ni jipu hata kampuni yako jipu wanampa mtu kazi kama weweView attachment 416415 Demu wangu huyo hawezi lingana nawako ila hatujisifu watu tumetembea nchi 46 duniani hatusemi sasa wewe mwanza tu unapiga makelele dawa yenu scorpion
huyu demu jirani yangu ,afu wa kawaida sana yani.
 
Kazi unayoo..iv hawajaanza pre form one?[emoji57]
 
Chief anaropoka kama Rais Magufuli

Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho siwezi kukulaumu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nyambafu kabisa wewe wiki ijayo nakuja dar naanza na mkeo sijui nako utazidi kutusema ambao mnatuita wa mikoani?. Najua dar umelowea baada ya shule na sina imani kama uinjinia ulimaliza kama si kuolewa na wazaramo(watani zangu) maana watoto wa kike wa kizaramo wnatabia za kuoa watu kama nyie. Jiandae kisaikolojia nakuja maalumu kwa mkeo tena kwa baiskeli.
 
Engenieer unazurura mitaani badala ya kufanya kazi we we ni jipu hata kampuni yako jipu wanampa mtu kazi kama weweView attachment 416415 Demu wangu huyo hawezi lingana nawako ila hatujisifu watu tumetembea nchi 46 duniani hatusemi sasa wewe mwanza tu unapiga makelele dawa yenu scorpion
Wewe ni muongo!
 
Niaje wazeiyaaah...

EBANA SAWA :
Mnajua nini mazee????
Nilikua najua kuwa ni wanawake wa jijini pekee ndio hushoboka wakiona mwanaume yupo ndan ya ndinga...

Kumbe aisee mikoani ndio balaa sasa..

Yaan baada ya kuzungukia hutu tumitaa twa hapa wanapaita jiji la Mwanza, karibu kila sehem napoenda...
Mabinti wanaonekana kupagawa na ndinga hii nayotembelea...

Asubuhi kidogo niondoke na mdada wa kibanda cha M-PESA pale buzuruga... Badala ya kunihudumia anashangaa jinsi nilivo smart na usafiri wa kueleweka huku nikitoa cm kali ya ki Engineer wakat natuma pesa kwa maza...

Haya mchana nikazama pande za pasiansi kule, nikazama hotel moja kupata lunch...
Wakat natoka cjui ni twanafunz tule, tunani kodolea macho hadi nasepa...

Maskin wangelijua kuwa gari yenyewe sio mali yangu, ni mali ya kampuni jaman...

Mkitaka kushangaa mkoko wangu ombeni ruhusa kwa baba zenu, kaka zenu na waume zenu mje dar nitawaonesha...

Wanaume wa mikoani waambieni wanawake wenu waache ushamba bana.... Masuala ya kuwashobokea wanaume wanaotoka jijini kuja mikoani sio issue wala nini...

Ngoja niteleze pande za nyegezi.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
kolo ni kolo tu hata aweje!

kuna kampuni gani yenye ndinga ya kufanya watu wa mwanza wakushobokee?

Ndinga kali zote ni zile wanazotembelea watu binafsi sasa kampuni tangu lini ikawa na ndinga kali?

Vx , V8 ni ndinga kali lakini ukitembelea mtu hawezi kukushangaa coz ni ndinga fln ambazo ni common , sasa wewe kijana mtanashati wa dar hata sijui ulikuwa unatumia gari gani mpaka watu wakushangae
 
Niaje wazeiyaaah...

EBANA SAWA :
Mnajua nini mazee????
Nilikua najua kuwa ni wanawake wa jijini pekee ndio hushoboka wakiona mwanaume yupo ndan ya ndinga...

Kumbe aisee mikoani ndio balaa sasa..

Yaan baada ya kuzungukia hutu tumitaa twa hapa wanapaita jiji la Mwanza, karibu kila sehem napoenda...
Mabinti wanaonekana kupagawa na ndinga hii nayotembelea...

Asubuhi kidogo niondoke na mdada wa kibanda cha M-PESA pale buzuruga... Badala ya kunihudumia anashangaa jinsi nilivo smart na usafiri wa kueleweka huku nikitoa cm kali ya ki Engineer wakat natuma pesa kwa maza...

Haya mchana nikazama pande za pasiansi kule, nikazama hotel moja kupata lunch...
Wakat natoka cjui ni twanafunz tule, tunani kodolea macho hadi nasepa...

Maskin wangelijua kuwa gari yenyewe sio mali yangu, ni mali ya kampuni jaman...

Mkitaka kushangaa mkoko wangu ombeni ruhusa kwa baba zenu, kaka zenu na waume zenu mje dar nitawaonesha...

Wanaume wa mikoani waambieni wanawake wenu waache ushamba bana.... Masuala ya kuwashobokea wanaume wanaotoka jijini kuja mikoani sio issue wala nini...

Ngoja niteleze pande za nyegezi.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Gari ya mchongo
 
Back
Top Bottom