Wanaume wa mikoani.. Waambieni wake zenu, dada zenu, mabinti zenu waache ushamba!!!

Wanaume wa mikoani.. Waambieni wake zenu, dada zenu, mabinti zenu waache ushamba!!!

mademu zetu siyo washamba mkuu engineer inaonekana we ndo ulikuwa unawazimikia hawa watoto wa ziwa si unawajua watoto wakula fishi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]


Nawazimikia wapi.... Watoto WENYEWE hawajui kuvaa, kung'aa..!!!

Kazi kushobokea tu wanaume tuliotoka Jijini.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Mademu zetu siyo wauzaji kama was huko kwenu wanaopenda usodoma
 
uyu mchuzi michosho tu....anataka tujue yeye ni engineer pia ana gari,kwani we ndo engineer wa kwanza mbna wapo humu wanamagari wakubwa,maengineer wa maana....kwa taarifa yako you are too poor mutherfucker...better you stay cool...paka wa mamantilie ww
 
Acha ushamba ww na diss zako ambazo hazna mpangilio weka picha ya demu wako 2one crampy cramp
 
Hebu tutake radhi wakazi wa Mwanza! una gari gani wewe ya kushangaliwa hapa Mwanza! uko Mwanza kweli au unaota wewe mhandisi uchwara?
 
Njoo nyegezi weekend carwash kwa wajanja , niuone huo unaosifia ni mkoko, mwanza hii!!! Gari gani hiyo haijawahi onekana? From hammer to Corolla.
Halafu sehemu alizotembelea eti Buzuruga mara Pasiansi halafu anaiponda Mwanza, ana gari gani ya ajabu huyu!!!!!
 
Mikoani ndiko wapi? wewe ni ndinga gani umepanda ambayo haipo hapa TZ? sasa ujue WEWE NDIYE KING WA WASHAMBA katafute tafsiri ya mshamba ujipime ujue wa mikoani na wewe nani MSHAMBA!!!! comments zako zoote zinaonyesha kuwa wewe ni MSHAMBA WA KUTUPWA na kama ni MWANAUME BASI SIO MTIMILIFU!!!!
 
babu weee utukome, hatushoboki na gari. Halafu sisi sio washamba. Hatushoboki na wanaume wa dar. Kwenda zako huko.
 
loooo...hatuna shobo na magari kaka eee...tunashobo na wanaume wanaojitambua ,marijali na wenye hofu ya Mungu,,na upendo ...gari litaharibika lakini upendo uko palepale...nashoboka na hao,,,kwangu gari si kitu hata kidogo ...ila SHIKAMOONI MAINJIA WOTE NDIO TABIA ZENU MKIWA NA NDINGA HAMTULII KILA DAKIKA MNATAKA MUWE NJIANI MZURURE WEEEE....
hatari sana
 
Back
Top Bottom