huyu demu jirani yangu ,afu wa kawaida sana yani.Engenieer unazurura mitaani badala ya kufanya kazi we we ni jipu hata kampuni yako jipu wanampa mtu kazi kama weweView attachment 416415 Demu wangu huyo hawezi lingana nawako ila hatujisifu watu tumetembea nchi 46 duniani hatusemi sasa wewe mwanza tu unapiga makelele dawa yenu scorpion
Atakuwa anatembelea fisi sio gariHalafu sehemu alizotembelea eti Buzuruga mara Pasiansi halafu anaiponda Mwanza, ana gari gani ya ajabu huyu!!!!!
Wewe mrombo,nyie si ndio mnakodi marijali kutoka Kenya?
Sio mimi mamii,iliwahi kujadiliwa humu,kama sio kweli basi yaishe ila nitamuuliza na mama Temba maana na yeye ni jirani na nyie.nenda huko ukathibitishe kama tunawakodi ama la....hayo ni maneno tu hata kwenye kanga yapo
Wewe ni muongo!Engenieer unazurura mitaani badala ya kufanya kazi we we ni jipu hata kampuni yako jipu wanampa mtu kazi kama weweView attachment 416415 Demu wangu huyo hawezi lingana nawako ila hatujisifu watu tumetembea nchi 46 duniani hatusemi sasa wewe mwanza tu unapiga makelele dawa yenu scorpion
kolo ni kolo tu hata aweje!Niaje wazeiyaaah...
EBANA SAWA :
Mnajua nini mazee????
Nilikua najua kuwa ni wanawake wa jijini pekee ndio hushoboka wakiona mwanaume yupo ndan ya ndinga...
Kumbe aisee mikoani ndio balaa sasa..
Yaan baada ya kuzungukia hutu tumitaa twa hapa wanapaita jiji la Mwanza, karibu kila sehem napoenda...
Mabinti wanaonekana kupagawa na ndinga hii nayotembelea...
Asubuhi kidogo niondoke na mdada wa kibanda cha M-PESA pale buzuruga... Badala ya kunihudumia anashangaa jinsi nilivo smart na usafiri wa kueleweka huku nikitoa cm kali ya ki Engineer wakat natuma pesa kwa maza...
Haya mchana nikazama pande za pasiansi kule, nikazama hotel moja kupata lunch...
Wakat natoka cjui ni twanafunz tule, tunani kodolea macho hadi nasepa...
Maskin wangelijua kuwa gari yenyewe sio mali yangu, ni mali ya kampuni jaman...
Mkitaka kushangaa mkoko wangu ombeni ruhusa kwa baba zenu, kaka zenu na waume zenu mje dar nitawaonesha...
Wanaume wa mikoani waambieni wanawake wenu waache ushamba bana.... Masuala ya kuwashobokea wanaume wanaotoka jijini kuja mikoani sio issue wala nini...
Ngoja niteleze pande za nyegezi.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Gari ya mchongoNiaje wazeiyaaah...