Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Huko aliko ishaisha...anatafuta pengine SAA hii...Si bora hata angekopa akanywe bia tu kuliko kubet. Sasa baada ya kubet akishaliwa ndo anapotea mazima. Watu wangejua tunapata hela kwa shida na sisi wangekua hawakopi halafu wanaturusha. Ila jasho la mtu haliendi bure mama. Mjanja yeye ila Mungu yupo
Unakosea kuwaita wanaume!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mdangaji kwa mdangaji..tatizo sio kila nyuzi yamenikuta mengine story au watu wako wakaribuu!!
Hivi yahaya na marioo afadhali nani[emoji23][emoji23][emoji23]
Ze dudu Mimi sitapeliwi I swear... Haswa na vijana bora nkupe bureee kuliko nikukopeshe au uniombe hela kwanza sina ya kumpa mwanaume hata mia...!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Naona Kijana Mwenzangu Kashafanya Yake
Kwani Kakutapeli Kiasi Gani
Usijali ni pm no yako nikucheki m pesa.[emoji3]Mkuu we ndio mwanaume naomba na mm unikopeshe
[emoji23][emoji23]Utakuta mwanaume mzima anaimba "Ninogeshe" then kichwani kuko empty, shuga mamy wako njiani
Wa wisibi[emoji2] [emoji2] [emoji2] hamonaizi huyu wa wisibii au wa jf!!ukaribu na wakaka hapanaa...!!wengi wadananda!!!
Sana tu jasho la mtu haliendi bureeSi bora hata angekopa akanywe bia tu kuliko kubet. Sasa baada ya kubet akishaliwa ndo anapotea mazima. Watu wangejua tunapata hela kwa shida na sisi wangekua hawakopi halafu wanaturusha. Ila jasho la mtu haliendi bure mama. Mjanja yeye ila Mungu yupo
Usijali ni pm no yako nikucheki m pesa.[emoji3]
vua ukojoe nione[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nakojoaaaaaa
Shida miaka au pesa?Nihonge tu kwani ntakataa..kwanza una miaka mingapi?!!
Nakojoaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora yahaya yeye pa kuishi hana ila ana masifa ya kuonekana ana mahela kuliko marioo mama unamlea mtoto wa mwanamke mwenzio
vua ukojoe nione
Sijasoma ila naunga mkono hoja....