Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisaaa,..nimeona kumbe laki nayo ni pesa...utawasikia ooh nisaidie kiduka changu kimepitiwa na TRA kimefungwa,.masikini kwa kumuonea huruma asije kufa na njaa akakosa bando ya kuchangia jf unamuazima..kumbeee ni marioo mjini...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mjini pagumu jamani!!mpk wakaka wanadangaa!!kumbe hana duka wala kioski!!
 
Asee mimi sijawahi mkopa mwanamke pesa.

Dah! kwanza sijui nitaanzaje aise! Sjalelewa kiivyo kabisa.

Huwa nawakopesha wanawake zingine wanarudisha zingine ndo ivo tena..!! Adi masela pia huwa nawatoa tu.

Sasa sijui ndo kuhonga uko...
Hauhongi unakopesha na Mimi ntakuja unikopeshe kama laki hivi ila sitakulipa [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mjini pagumu jamani!!mpk wakaka wanadangaa!!kumbe hana duka wala kioski!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa nguvuuu...kiduka utakuta kimejaa maji ya uhai tuu na sayona,.halafu unajikua mtaani au jf supanyota
 
Back
Top Bottom