Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
Aisee hao wanaume ni wa wapi maana huku Arusha na Kilimanjaro sijawahi kuwaona…
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mjini pagumu jamani!!mpk wakaka wanadangaa!!kumbe hana duka wala kioski!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisaaa,..nimeona kumbe laki nayo ni pesa...utawasikia ooh nisaidie kiduka changu kimepitiwa na TRA kimefungwa,.masikini kwa kumuonea huruma asije kufa na njaa akakosa bando ya kuchangia jf unamuazima..kumbeee ni marioo mjini...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732] Tukojoeeeeeeee wote babeNakojoaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwalimu neno vijana hutumika kwa jinsia zote mbili!Vijana waache kudanga na kutapeli watu!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji23] [emoji23] jamani mmekua dume Leo
Kichwa cha habari kinatosha Mimi kuunga mkono hoja......Hahhahaha we ni mwehu
Hahahahaa zesh buanaaSijasoma ila naunga mkono hoja....
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hahahahaa zesh buanaa
Hauhongi unakopesha na Mimi ntakuja unikopeshe kama laki hivi ila sitakulipa [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asee mimi sijawahi mkopa mwanamke pesa.
Dah! kwanza sijui nitaanzaje aise! Sjalelewa kiivyo kabisa.
Huwa nawakopesha wanawake zingine wanarudisha zingine ndo ivo tena..!! Adi masela pia huwa nawatoa tu.
Sasa sijui ndo kuhonga uko...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa nguvuuu...kiduka utakuta kimejaa maji ya uhai tuu na sayona,.halafu unajikua mtaani au jf supanyota[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mjini pagumu jamani!!mpk wakaka wanadangaa!!kumbe hana duka wala kioski!!