Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Woouzzerrrr[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Huyu ndio Daby wale wengine aliokuwa anawaweka wahuni wahuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Woouzzerrrr[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Huyu ndio Daby wale wengine aliokuwa anawaweka wahuni wahuni
Chizi wewe.
Hahaa sasa kuna haja gani ya kujibrag unandinga then unapiga mizinga humu humu. Chaaa!Maviiii. Huku maigizo mengi hasa wanaume mama. Hayo mandinga yako JF tu mtaani nehii
Hahahahaa,. Kule kuna togwa hamna balimiiZipo za kwenye majani mabichi
kwa hiyo utaanza kunikopesha eeeh?
😂😂😂😂ndo maana sivaagi mkanda nisije kuwa marioo bure[emoji3][emoji3][emoji3]hao wanavaa na mikanda nje,tofauti na mateja wa kitaa..bora teja aki vile...
Na hapa ndipo nilipoanza kucheka mwanamke kaliwa leo hapatoshi.Unakula pesa ya mwanamke wa Kiswahili,msikiliza mipasho hakuna rangi utaacha kuona
Huyu ananogewa na vingereza humu anadhani ndo wenye mahela hiiiiiiiiiiiiiiii in sumbula's voice[emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji2]
Kwa iyo hata bebee unamkopesha pia?!Kuvumiliana bora uwe bby kidogo ukiniambia vumilia mama naelewa. Sasa na namba unabadilisha ntavumilja nini hapo kama sio kutema nyongo?
Hahaa aisee kweli basi kwenye wengi kuna mengi.
Weeeee ishia hapohapo ....kuna watu humu wanakaa kwa shemeji zao ohoooo
Hahaaa basi hakunaga sehemu naonaga watu wapo decent kama humu aisee. Kumbeee..Weeeee ishia hapohapo ....kuna watu humu wanakaa kwa shemeji zao ohoooo