Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
Yaani hatarNa hapa ndipo nilipoanza kucheka mwanamke kaliwa leo hapatoshi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hatarNa hapa ndipo nilipoanza kucheka mwanamke kaliwa leo hapatoshi.
Kwanini nisimkopeshe kama ninayo wakati na yeye ananipaga zak3?Kwa iyo hata bebee unamkopesha pia?!
Umetisha aise.!
Mtaumbuka sasa[emoji23] [emoji2] [emoji2]Lakini wanawake nyie mmetaka haki sawa. Maana kuna wakati huwa mnakopa halafu hamrudishi.
Mkiombwa naniliu kama dhamana ya mkopo mnakaza!
Sasa baadhi ya masela wameamua kuchukua hii fursa ili muende sawa.[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahhahah wakiwa jf matajiri waoMuambie huyoo!!
Weeeee ishia hapohapo ....kuna watu humu wanakaa kwa shemeji zao ohoooo
Hahahahaa,.. Jamaniii,.asikuumize kichwa sana ilimradi tabia yake imejulikana...haisumbui tena..Yani kanipa mawazo.. japo nshakula hela yake ya Heineken
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nimecheka km fala hapa Niko habari sina!!
Me mwenyew mdangaji nakosaje kuunga mkono hoja kutoka chamani he he he he he
Mkuu wanawake walilia haki na usawa kwa wote kwa muda mrefu wacha watu wakopwe na wasilipwe [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikua sina form leo nimejikuta jf imenipea form.Yaani hatar
Hahahaha si ndio maana nasema hakuna rangi utaacha kuona ukila pay ya mwanamke,sio kukopa tuu hata ukichukua kwenda kufanya mishe bahati mbaya mishe ikagoma,aiseeee!Kuna kula kwa kupewa. Usimkope mwanamke halafu unabadili na namba. Unataka mtu kama huyo afanywe nini na huku yuko anasoma inavyoonekana?
khaaa.
Hahaa mi mtu hawezi nitisha na mali zake bz najua kutafuta ila nimestuka fulani hivii bz huwa nimejiaminisha humu watu wapo real.Wasikutishe shosti kuna choka mbaya humu kama kina siye pia na matapeli kibao
Kwa hiyo umetapeliwa mkuu? PoleAcheni kutapeli!!
Ww unavaa mabwanga eee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo maana sivaagi mkanda nisije kuwa marioo bure
Zinaishije DonNyie mkishaanzisha thread zenu najua mnakoishia.
Hahaha...