Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Lakini wanawake nyie mmetaka haki sawa. Maana kuna wakati huwa mnakopa halafu hamrudishi.

Mkiombwa naniliu kama dhamana ya mkopo mnakaza!

Sasa baadhi ya masela wameamua kuchukua hii fursa ili muende sawa.[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mtaumbuka sasa[emoji23] [emoji2] [emoji2]
 
Kuna kula kwa kupewa. Usimkope mwanamke halafu unabadili na namba. Unataka mtu kama huyo afanywe nini na huku yuko anasoma inavyoonekana?
Hahahaha si ndio maana nasema hakuna rangi utaacha kuona ukila pay ya mwanamke,sio kukopa tuu hata ukichukua kwenda kufanya mishe bahati mbaya mishe ikagoma,aiseeee!
 
Back
Top Bottom