Mkuu umekosea kidogo takwimu. Mwanamke asiyesaliti ni mmoja kati ya elfu moja.Ukweli ni kwamba mwanamke asiyesaliti ni mmoja Kati ya wanawake kumi,
Kweli uko sahihi.Mkuu umekosea kidogo takwimu. Mwanamke asiyesaliti ni mmoja kati ya elfu moja.
Maofisini, masokini, ufukweni, maharusini, kwenye vikoba, misibani, women gallas (e.g superwomen Galla), n.k kote huko wake za watu wanachapwa.
Sasa mbona unatoka nje ya mada[emoji2][emoji2] kwani nyie hizo nyuzi zenu za kula kimaskahara uzioni
Umenikumbusha mbali sana my dear mama mzungu alikuwa ni mama ambaye ngozi yake ni nyeupe ni zeru zeru sasa akaja kuolewa na mwenyekiti wa kijiji chetu sasa akawa ndio wapi kwa nyumba kubwa nzuri sana sasa anawadada wake wote ni weupe wenye maumbo kama yeye mmoja ndio alikuwa karibia awe kama mamayake ila aliolewa mapema kweli sisi bado tupo secondary tukala ubwabwa basi maisha yakaenda . .Leo ni weekend
Wanawake wenyewe mmekuwa malaya tuu na tamaa mbele hamna maanaSijakosea ndio nilichomaanishaa
Wanaume wa nyakati hizi hamjiamini muda wote munawaza usaliti usaliti usaliti usaliti
Kila nyuzi humu ni kuhusu usaliti
Hivi inakuaje unamuwazia mwenzio kukusalitiā¦
Nyuzi za kuchapiwa tu za kuhisi mara ooh mliooa wanawake wafanyakazi wanaliwa na maboss [emoji3]
Mara kama umemuacha houseboy nyumbani ujue anakula mkeo
Hiyo mindset yenu inawaza usaliti tuā¦hayo mazingira minayoyatengeneza kwenye ufahamu wenu shetani anawachora mwisho wa siku mdomo uumbaā¦
Kama wewe ulishachetiwa na mkeo kazini kwao usiconclude wanawake wote huliwa maofisini mwao
Hii picha munayoitengenezaa munawaogopesha na wenginee ambao mapenzi yao yapo moto moto
Nawasilisha[emoji23]
Umenikumbusha mbali sana my dear mama mzungu alikuwa ni mama ambaye ngozi yake ni nyeupe ni zeru zeru sasa akaja kuolewa na mwenyekiti wa kijiji chetu sasa akawa ndio wapi kwa nyumba kubwa nzuri sana sasa anawadada wake wote ni weupe wenye maumbo kama yeye mmoja ndio alikuwa karibia awe kama mamayake ila aliolewa mapema kweli sisi bado tupo secondary tukala ubwabwa basi maisha yakaenda . .
Kwa mada hii majibu haya ndio hivi mie sijali wanaume kweli wafanye watakavyoo sijali kwa maana if kama mtu kaolewa aweke nguvu katika familia tosha kama hakuamini basi ili mradi watoto wako wako fresh wanakila wahitaji
Nyie mtulie/muaminike šš chamuhimu mnatuzalia,kupika na kuosha vyombo tunashukuruššWanaishi na sisi kwa mashakamashaka ndio maana wanakufa na stress⦠unakuta ana mwanamke katulia wala hafanyi hayo yote but anamuwazia vibaya
Shida yenu ninyi wanawake mnagawa kila lika kama dozi
Alikuwa anajifanya mshauri wa ndoaš
Naunga mkono hoja.Wako wengi hawacheat na Mimi ni mojawapo.
Wanaume mabikra wako wengi kuliko wanawake.
Sio bunda tu sikuiz ukiwa na upala na ndevu mbususu unazawadia bureeeeWakiona bunda tayar kaliwa.
Hapa utakuta hamna hata 1.Na wanaume wasiosaliti ni wangapii kati ya 10
Ww sindio yule ulikuja huku unalia lia,Sijakosea ndio nilichomaanishaa
Wanaume wa nyakati hizi hamjiamini muda wote munawaza usaliti usaliti usaliti usaliti
Kila nyuzi humu ni kuhusu usaliti
Hivi inakuaje unamuwazia mwenzio kukusalitiā¦
Nyuzi za kuchapiwa tu za kuhisi mara ooh mliooa wanawake wafanyakazi wanaliwa na maboss [emoji3]
Mara kama umemuacha houseboy nyumbani ujue anakula mkeo
Hiyo mindset yenu inawaza usaliti tuā¦hayo mazingira minayoyatengeneza kwenye ufahamu wenu shetani anawachora mwisho wa siku mdomo uumbaā¦
Kama wewe ulishachetiwa na mkeo kazini kwao usiconclude wanawake wote huliwa maofisini mwao
Hii picha munayoitengenezaa munawaogopesha na wenginee ambao mapenzi yao yapo moto moto
Nawasilisha[emoji23]
Ww sindio yule ulikuja huku unalia lia,
Mwite mwambie tu kiustaarabu halafu kana hataki basi mwache akiendelea mwambie katafute ambaye unamwamini.Wanaishi na sisi kwa mashakamashaka ndio maana wanakufa na stress⦠unakuta ana mwanamke katulia wala hafanyi hayo yote but anamuwazia vibaya
Nyuzi za kuchapiwa tu za kuhisi mara ooh mliooa wanawake wafanyakazi wanaliwa na maboss.
Kama wewe ulishachetiwa na mkeo kazini kwao usiconclude wanawake wote huliwa maofisini mwao.
Hili madam LIPO WAZIII....
Wake zao maofisini "Wanagongwa sanaaa"
#YNWA