Mkuu umekosea kidogo takwimu. Mwanamke asiyesaliti ni mmoja kati ya elfu moja.Ukweli ni kwamba mwanamke asiyesaliti ni mmoja Kati ya wanawake kumi,
Maofisini, masokini, ufukweni, maharusini, kwenye vikoba, misibani, women gallas (e.g superwomen Galla), n.k kote huko wake za watu wanachapwa. Dawa ni kutokuoa.