Wanaume wa siku hizi hamjiamini

Wanaume wa siku hizi hamjiamini

Mkuu umekosea kidogo takwimu. Mwanamke asiyesaliti ni mmoja kati ya elfu moja.

Maofisini, masokini, ufukweni, maharusini, kwenye vikoba, misibani, women gallas (e.g superwomen Galla), n.k kote huko wake za watu wanachapwa.
Kweli uko sahihi.
 
Leo ni weekend
Umenikumbusha mbali sana my dear mama mzungu alikuwa ni mama ambaye ngozi yake ni nyeupe ni zeru zeru sasa akaja kuolewa na mwenyekiti wa kijiji chetu sasa akawa ndio wapi kwa nyumba kubwa nzuri sana sasa anawadada wake wote ni weupe wenye maumbo kama yeye mmoja ndio alikuwa karibia awe kama mamayake ila aliolewa mapema kweli sisi bado tupo secondary tukala ubwabwa basi maisha yakaenda . .

Kwa mada hii majibu haya ndio hivi mie sijali wanaume kweli wafanye watakavyoo sijali kwa maana if kama mtu kaolewa aweke nguvu katika familia tosha kama hakuamini basi ili mradi watoto wako wako fresh wanakila wahitaji
 
Sijakosea ndio nilichomaanishaa

Wanaume wa nyakati hizi hamjiamini muda wote munawaza usaliti usaliti usaliti usaliti

Kila nyuzi humu ni kuhusu usaliti

Hivi inakuaje unamuwazia mwenzio kukusaliti…

Nyuzi za kuchapiwa tu za kuhisi mara ooh mliooa wanawake wafanyakazi wanaliwa na maboss [emoji3]
Mara kama umemuacha houseboy nyumbani ujue anakula mkeo

Hiyo mindset yenu inawaza usaliti tu…hayo mazingira minayoyatengeneza kwenye ufahamu wenu shetani anawachora mwisho wa siku mdomo uumba…

Kama wewe ulishachetiwa na mkeo kazini kwao usiconclude wanawake wote huliwa maofisini mwao

Hii picha munayoitengenezaa munawaogopesha na wenginee ambao mapenzi yao yapo moto moto

Nawasilisha[emoji23]
Wanawake wenyewe mmekuwa malaya tuu na tamaa mbele hamna maana
 
Umenikumbusha mbali sana my dear mama mzungu alikuwa ni mama ambaye ngozi yake ni nyeupe ni zeru zeru sasa akaja kuolewa na mwenyekiti wa kijiji chetu sasa akawa ndio wapi kwa nyumba kubwa nzuri sana sasa anawadada wake wote ni weupe wenye maumbo kama yeye mmoja ndio alikuwa karibia awe kama mamayake ila aliolewa mapema kweli sisi bado tupo secondary tukala ubwabwa basi maisha yakaenda . .

Kwa mada hii majibu haya ndio hivi mie sijali wanaume kweli wafanye watakavyoo sijali kwa maana if kama mtu kaolewa aweke nguvu katika familia tosha kama hakuamini basi ili mradi watoto wako wako fresh wanakila wahitaji

Wanaishi na sisi kwa mashakamashaka ndio maana wanakufa na stress… unakuta ana mwanamke katulia wala hafanyi hayo yote but anamuwazia vibaya
 
Nyie mtulie/muaminike 😃😃 chamuhimu mnatuzalia,kupika na kuosha vyombo tunashukuru🙏🙏
 
1693076483024.jpg
 
Sijakosea ndio nilichomaanishaa

Wanaume wa nyakati hizi hamjiamini muda wote munawaza usaliti usaliti usaliti usaliti

Kila nyuzi humu ni kuhusu usaliti

Hivi inakuaje unamuwazia mwenzio kukusaliti…

Nyuzi za kuchapiwa tu za kuhisi mara ooh mliooa wanawake wafanyakazi wanaliwa na maboss [emoji3]
Mara kama umemuacha houseboy nyumbani ujue anakula mkeo

Hiyo mindset yenu inawaza usaliti tu…hayo mazingira minayoyatengeneza kwenye ufahamu wenu shetani anawachora mwisho wa siku mdomo uumba…

Kama wewe ulishachetiwa na mkeo kazini kwao usiconclude wanawake wote huliwa maofisini mwao

Hii picha munayoitengenezaa munawaogopesha na wenginee ambao mapenzi yao yapo moto moto

Nawasilisha[emoji23]
Ww sindio yule ulikuja huku unalia lia,
 
Wanaishi na sisi kwa mashakamashaka ndio maana wanakufa na stress… unakuta ana mwanamke katulia wala hafanyi hayo yote but anamuwazia vibaya
Mwite mwambie tu kiustaarabu halafu kana hataki basi mwache akiendelea mwambie katafute ambaye unamwamini.
 
Back
Top Bottom