Wanaume wa siku hizi hamjiamini

Wanaume wa siku hizi hamjiamini

mamamzungu

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2019
Posts
2,554
Reaction score
4,271
Sijakosea ndio nilichomaanishaa

Wanaume wa nyakati hizi hamjiamini muda wote munawaza usaliti usaliti usaliti usaliti

Kila nyuzi humu ni kuhusu usaliti

Hivi inakuaje unamuwazia mwenzio kukusaliti…

Nyuzi za kuchapiwa tu za kuhisi mara ooh mliooa wanawake wafanyakazi wanaliwa na maboss [emoji3]
Mara kama umemuacha houseboy nyumbani ujue anakula mkeo

Hiyo mindset yenu inawaza usaliti tu…hayo mazingira minayoyatengeneza kwenye ufahamu wenu shetani anawachora mwisho wa siku mdomo uumba…

Kama wewe ulishachetiwa na mkeo kazini kwao usiconclude wanawake wote huliwa maofisini mwao

Hii picha munayoitengenezaa munawaogopesha na wenginee ambao mapenzi yao yapo moto moto

Nawasilisha[emoji23]
 
Na wanaume wasiosaliti ni wangapii kati ya 10
7 Kati ya 10.
Wanaume asilimia kubwa wakiwa na amani hawawezi msaliti mwanamke anayempenda.

Hata ndani ya Maandiko matakatifu, Mwanaume aliwekwa kuwa kichwa cha ndoa kama Kristo alivyo kichwa cha Kanisa. Kristo hawezi acha Kanisa lake akiwa na amani nayo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]uongo wa wazi kAbisaa humu si mnajisifia muna michepuko kwamba Hakuna mwanaume asie cheat
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]uongo wa wazi kAbisaa humu si mnajisifia muna michepuko kwamba Hakuna mwanaume asie cheat
Kama ni uongo wa wazi, kwanini Mungu alimchagua mwanaume kuongoza Kanisa na sio mwanamke?
Kwanini alichagua njia ya Yesu kuja kama mwanaume na sio mwanamke?

Mwanamke ni rahisi kushawishiwa ila sio mwanaume. Makanisa ya uongo wanawake wako wengi kuliko mwanaume. Ukiona wanaume ana mchepuko ujue Hana amani na mkewe au alichaguliwa mke wa kumuoa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]uongo wa wazi kAbisaa humu si mnajisifia muna michepuko kwamba Hakuna mwanaume asie cheat
Wanaume walioko jamiiforums sio wanaume wote Tanzania. Sawasawa na wanawake pia, ila nilichogundua tabia za wanawake ni zilezile tofauti na mwanaume kabisa.

Nina marafiki wengi sana wa kiume ni mabikra hawajawahi kutana na wanawake ila wanawake wengi hata wale wanaolialia kanisani hakuna bikra pale, Sasa kama umeshindwa tu kulinda bikra yako, je kwanini mumeo asiwe na wasiwasi ya kusalitiwa ?
 
FB_IMG_16929889775373777.jpg
 
Mmh labda sio wa TZ ni waturukii hao
 
Back
Top Bottom