mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Sijakosea ndio nilichomaanishaa
Wanaume wa nyakati hizi hamjiamini muda wote munawaza usaliti usaliti usaliti usaliti
Kila nyuzi humu ni kuhusu usaliti
Hivi inakuaje unamuwazia mwenzio kukusaliti…
Nyuzi za kuchapiwa tu za kuhisi mara ooh mliooa wanawake wafanyakazi wanaliwa na maboss [emoji3]
Mara kama umemuacha houseboy nyumbani ujue anakula mkeo
Hiyo mindset yenu inawaza usaliti tu…hayo mazingira minayoyatengeneza kwenye ufahamu wenu shetani anawachora mwisho wa siku mdomo uumba…
Kama wewe ulishachetiwa na mkeo kazini kwao usiconclude wanawake wote huliwa maofisini mwao
Hii picha munayoitengenezaa munawaogopesha na wenginee ambao mapenzi yao yapo moto moto
Nawasilisha[emoji23]