Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Umeona eeehUkianzisha story tu unakabiziwa majuku apo apo, kila mkisimama kituoni kula atajiweka nyuma nyuma kwenye kulipa ili umlipie,, bora ni mute tu nisave balance angu.
Usipokuwa makini unaingia kwenye majukumu usiyokuwa na maslahi nayoBora nisinzie kwenye bus tena ikiwezekana na udenda nitoe ila siyo kupga story na mwanamke wa kizazi hiki cha sasa,jifanye kupga nae story yani mkishaachana hapo ni zile text "Best nisaidie 20000 ntakulipa mama anaumwa".
Ha ha ha story za Mbele Kuna mdada mmoja mitaa fulani nilikuwa napata moja Moto moja baridi tulikaa jirani,nikampa ofa moja story zikanoga.Nikaona analeta story za Brazil Marekani Italy nk.Halafu Anasema yupo semina kafikia Hotel X.Nami nikawa nakubali tu.Dada sentensi ya moja anachanganya kiinglish na kiswahili.Wanawake wa zamani hawakua wajuaji kama wasasa. Nyie kila kitu mnajua mtu akiongea kidogo mshadakia mnajua kila kitu nitakwambia nini.
Kuna demu nilisafifiri naye kutoka Dar kuja Mbeya kiukweli yule dada kajaaliwa sura mpaka shepu. Tukaanza kupiga story nikaona mtu anachangamka kweli namimi ndio story ninazo ila tatizo ni mjuaji balaa nikileta story kidogo keshaleta habari za Dubai, SA na Egypt. Najitahidi kumuhamisha mtu kakomaa na story za mbele tu. Sisemi ni vibaya ila huko mimi sijawahi kufika kwa vyovyote story lazima itabase upande mmoja so nikawa nakomaa tuongelee mambo ya bongo naona mtu ye habari nyingine. Nikaona asinitie uchizi nikachukua kitabu nikaanza kusoma kuanza kuongea tena tulipokaribia Uyole.
Hivi kwanini mwanamke hata awe anajiweza lazima apige vizinga? Kuna dada yupo mtaa x wilaya kibaha,anajiweza vizuri na ana biashara nzuri tu.Tukazoeana kidogo tu,hata tumbua mtu sijafikaria kula,nikashangaa Anasema nimeamka bado sijanywa chai,Jana sijala nimekosa hela ya kula.Yaani nilijiuliza majibu sijapata.Akinipa pochi manyoya lake nakula halafu nateleza mbele mtu anashindwa hata kujijali yeye mwenyeweAcheni Nyodo na kuomba hela kiboya. Mm nikikutana na mwanamke hata Salamu sitoi maana najua hamna agenda nyingine zaidi ya pesa. Sasa hivi nipo na watatu tuuwananitoa Jasho. Kila ukigeuka huku ni vizinga mwanzo mwisho
cutelove, Tatzo tukianzishanga story na nyie mnajikuta sana
You know nyingi na ss tunaona tukaushe tuu
Nilikuwa nasikia zamani wakati ndo tunakua,tunanukia umri wa kuanza kumjua mwanaume,wasichana wanatusimulia wanavyokuwa wanasafiri kwenye mabasi wanakaa sit moja na wakaka wanapiga stori za hapa na pale hadi mwisho wa safari,muda mwingine safari inaishia na matumaini mapya ya mahusiano,yaani unaingia nyumbani unafarijika na zile stories za mkaka yule na cha ajabu ndo mara ya kwanza kukutana ndani ya hilo basi
Siku hizi unaingia ndani ya basi, unabahatika unakaa na mkaka sit moja,safari inaanza,kituo cha kwanza,hamna kitu,cha pili,hamna kitu,cha tatu unajifanya kumuulizia sehemu fulani basi linafikapo SAA ngapi,anajibu tu bado SAA moja
Halafu anarudisha earphone masikioni,anacheza games
Mnakuwa mabubu mpaka mwisho wa safari
Huwa hamtutendei haki kwa kweli
Mkiwa kwenye usafiri hasa mrefu msijifanye bize sana,huwa tunapenda tupige story mbili tatu
Ubize wetu kwenye mabasi huwa ni kupretend tu ,anza mazungumzo uone kama hutajibiwa
Haha haha mkuu ulmtendea hakii hatokusahau kabsaaHiyo ni true demu anataka mbembelezane miezi mitatu hapohapo vizinga haviishi ukikaambia njoo geto kanakwambia siwezi kuja, kuna kamoja kaliniambia kanasafari ya kwenda Moro halafu kanalalamika hakana hela nikaambia asubuhi utapita geto ili nikusindikeze na bajaji hadi ubongo kamefika geto hakataki kutoa papuchi nimesaundisha wapi sa mi kubembeleza papuchi ambayo haitaki kuliwa naonaga shida tu, nikakaambia twende nikusindikeze maana kumbe kalikuja kuchukua hela tu,nikaita boda nikampa buku nne demu nae ananiuliza na hela uliyosema utanipa nikamwambia nilisema ntakulipia usafiri wa kwenda ubungo halafu nikaondoka zangu, yule boda nikamwambia peleka ubungo huyo na nikamuweka blacklist sipendagi utoto.
🤣🤣🤣 hivi anaeichukia jf nani??🤣🤣🤣Sasa kama umevaa wigi nani akuongeleshe wakati naenda kwa nyapu yangu OG ya kiburushi tabora imefuga nywele mpaka mkiani
DuuuhNilikuwa nasikia zamani wakati ndo tunakua,tunanukia umri wa kuanza kumjua mwanaume,wasichana wanatusimulia wanavyokuwa wanasafiri kwenye mabasi wanakaa sit moja na wakaka wanapiga stori za hapa na pale hadi mwisho wa safari,muda mwingine safari inaishia na matumaini mapya ya mahusiano,yaani unaingia nyumbani unafarijika na zile stories za mkaka yule na cha ajabu ndo mara ya kwanza kukutana ndani ya hilo basi
Siku hizi unaingia ndani ya basi, unabahatika unakaa na mkaka sit moja,safari inaanza,kituo cha kwanza,hamna kitu,cha pili,hamna kitu,cha tatu unajifanya kumuulizia sehemu fulani basi linafikapo SAA ngapi,anajibu tu bado SAA moja
Halafu anarudisha earphone masikioni,anacheza games
Mnakuwa mabubu mpaka mwisho wa safari
Huwa hamtutendei haki kwa kweli
Mkiwa kwenye usafiri hasa mrefu msijifanye bize sana,huwa tunapenda tupige story mbili tatu
Ubize wetu kwenye mabasi huwa ni kupretend tu ,anza mazungumzo uone kama hutajibiwa
Kumbe huna akili, kama yeye haongei wewe si umuongeleshe. Ko nyiny muanziw t ila nyiny kuanza aaah, mbona kuomba hela hamtaki kuanziwa.Nilikuwa nasikia zamani wakati ndo tunakua,tunanukia umri wa kuanza kumjua mwanaume,wasichana wanatusimulia wanavyokuwa wanasafiri kwenye mabasi wanakaa sit moja na wakaka wanapiga stori za hapa na pale hadi mwisho wa safari,muda mwingine safari inaishia na matumaini mapya ya mahusiano,yaani unaingia nyumbani unafarijika na zile stories za mkaka yule na cha ajabu ndo mara ya kwanza kukutana ndani ya hilo basi
Siku hizi unaingia ndani ya basi, unabahatika unakaa na mkaka sit moja,safari inaanza,kituo cha kwanza,hamna kitu,cha pili,hamna kitu,cha tatu unajifanya kumuulizia sehemu fulani basi linafikapo SAA ngapi,anajibu tu bado SAA moja
Halafu anarudisha earphone masikioni,anacheza games
Mnakuwa mabubu mpaka mwisho wa safari
Huwa hamtutendei haki kwa kweli
Mkiwa kwenye usafiri hasa mrefu msijifanye bize sana,huwa tunapenda tupige story mbili tatu
Ubize wetu kwenye mabasi huwa ni kupretend tu ,anza mazungumzo uone kama hutajibiwa