Wanaume wa siku hizi hawawezi kuongea

Wanaume wa siku hizi hawawezi kuongea

Nilipanda Abood basi nikazoeana na jamaa story mwanzo mwisho niliishia kupewa dawa za kulevya.Nilikaaa muda wa siku tatu nikiwa nimetundikiwa drip ndo hali yangu ikawa sawa kwa kiasi fulani toka hapo spendi sana mazoea from nowhere
 
Juzi nimepanda na mdada toka Stesheni mjini mpaka Makumbusho dada analazimisha story halafu story zenyewe zinaboa mpaka unatamani ashuke fasta.Alikuja kushukia Mwananyamala
 
Bora nisinzie kwenye bus tena ikiwezekana na udenda nitoe ila siyo kupga story na mwanamke wa kizazi hiki cha sasa,jifanye kupga nae story yani mkishaachana hapo ni zile text "Best nisaidie 20000 ntakulipa mama anaumwa".
Usipokuwa makini unaingia kwenye majukumu usiyokuwa na maslahi nayo
 
Wanawake wa zamani hawakua wajuaji kama wasasa. Nyie kila kitu mnajua mtu akiongea kidogo mshadakia mnajua kila kitu nitakwambia nini.

Kuna demu nilisafifiri naye kutoka Dar kuja Mbeya kiukweli yule dada kajaaliwa sura mpaka shepu. Tukaanza kupiga story nikaona mtu anachangamka kweli namimi ndio story ninazo ila tatizo ni mjuaji balaa nikileta story kidogo keshaleta habari za Dubai, SA na Egypt. Najitahidi kumuhamisha mtu kakomaa na story za mbele tu. Sisemi ni vibaya ila huko mimi sijawahi kufika kwa vyovyote story lazima itabase upande mmoja so nikawa nakomaa tuongelee mambo ya bongo naona mtu ye habari nyingine. Nikaona asinitie uchizi nikachukua kitabu nikaanza kusoma kuanza kuongea tena tulipokaribia Uyole.
Ha ha ha story za Mbele Kuna mdada mmoja mitaa fulani nilikuwa napata moja Moto moja baridi tulikaa jirani,nikampa ofa moja story zikanoga.Nikaona analeta story za Brazil Marekani Italy nk.Halafu Anasema yupo semina kafikia Hotel X.Nami nikawa nakubali tu.Dada sentensi ya moja anachanganya kiinglish na kiswahili.
Ikabidi nijiongeze huyu mtu kweli ana hadhi hiyo.Badaye nikagundua ni mmama mtu mzima lkn anajiuza Wala hakuna semina yeyote.Mie sijawahi enda huko mbele Ila nikasema ngoja nisiwe bwege ngoja nami niteme kiinglish cha ulevi,piga story za Nje kama nimezaliwa huko.Nikaona mtu anaanza kupunguza story za Nje,English kuongea moja kwa moja hawezi.Nikagundua huyu ndezi tu nikasepa
 
Acheni Nyodo na kuomba hela kiboya. Mm nikikutana na mwanamke hata Salamu sitoi maana najua hamna agenda nyingine zaidi ya pesa. Sasa hivi nipo na watatu tuuwananitoa Jasho. Kila ukigeuka huku ni vizinga mwanzo mwisho
Hivi kwanini mwanamke hata awe anajiweza lazima apige vizinga? Kuna dada yupo mtaa x wilaya kibaha,anajiweza vizuri na ana biashara nzuri tu.Tukazoeana kidogo tu,hata tumbua mtu sijafikaria kula,nikashangaa Anasema nimeamka bado sijanywa chai,Jana sijala nimekosa hela ya kula.Yaani nilijiuliza majibu sijapata.Akinipa pochi manyoya lake nakula halafu nateleza mbele mtu anashindwa hata kujijali yeye mwenyewe
 
Hiyo ni true demu anataka mbembelezane miezi mitatu hapohapo vizinga haviishi ukikaambia njoo geto kanakwambia siwezi kuja, kuna kamoja kaliniambia kanasafari ya kwenda Moro halafu kanalalamika hakana hela nikaambia asubuhi utapita geto ili nikusindikeze na bajaji hadi ubongo kamefika geto hakataki kutoa papuchi nimesaundisha wapi sa mi kubembeleza papuchi ambayo haitaki kuliwa naonaga shida tu, nikakaambia twende nikusindikeze maana kumbe kalikuja kuchukua hela tu,nikaita boda nikampa buku nne demu nae ananiuliza na hela uliyosema utanipa nikamwambia nilisema ntakulipia usafiri wa kwenda ubungo halafu nikaondoka zangu, yule boda nikamwambia peleka ubungo huyo na nikamuweka blacklist sipendagi utoto.
cutelove, Tatzo tukianzishanga story na nyie mnajikuta sana
You know nyingi na ss tunaona tukaushe tuu
 
Hahahaha
Nilikuwa nasikia zamani wakati ndo tunakua,tunanukia umri wa kuanza kumjua mwanaume,wasichana wanatusimulia wanavyokuwa wanasafiri kwenye mabasi wanakaa sit moja na wakaka wanapiga stori za hapa na pale hadi mwisho wa safari,muda mwingine safari inaishia na matumaini mapya ya mahusiano,yaani unaingia nyumbani unafarijika na zile stories za mkaka yule na cha ajabu ndo mara ya kwanza kukutana ndani ya hilo basi

Siku hizi unaingia ndani ya basi, unabahatika unakaa na mkaka sit moja,safari inaanza,kituo cha kwanza,hamna kitu,cha pili,hamna kitu,cha tatu unajifanya kumuulizia sehemu fulani basi linafikapo SAA ngapi,anajibu tu bado SAA moja
Halafu anarudisha earphone masikioni,anacheza games

Mnakuwa mabubu mpaka mwisho wa safari

Huwa hamtutendei haki kwa kweli

Mkiwa kwenye usafiri hasa mrefu msijifanye bize sana,huwa tunapenda tupige story mbili tatu

Ubize wetu kwenye mabasi huwa ni kupretend tu ,anza mazungumzo uone kama hutajibiwa
 
Mi huwa nachukua konyagi kubwa nachanganya na tu 'shujaa'2 ...nalitia kwenye chupa la maji huyoo siti yangu daima huwa ni ya Mwisho nyuma kabisa dirishani
Stories ni mwanachama tuu Tena mwenye interest...huyo huwa tunageuka ndugu... otherwise ni maji njia nzima... nikichoka mbonji...likifika sehemu ya lunch...me huwa natafuta filling station nyingine Tena...Kama glocery au bar ya karibu...Mara ya Mwisho nusura gari liniacha...pombe nyie[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hiyo ni true demu anataka mbembelezane miezi mitatu hapohapo vizinga haviishi ukikaambia njoo geto kanakwambia siwezi kuja, kuna kamoja kaliniambia kanasafari ya kwenda Moro halafu kanalalamika hakana hela nikaambia asubuhi utapita geto ili nikusindikeze na bajaji hadi ubongo kamefika geto hakataki kutoa papuchi nimesaundisha wapi sa mi kubembeleza papuchi ambayo haitaki kuliwa naonaga shida tu, nikakaambia twende nikusindikeze maana kumbe kalikuja kuchukua hela tu,nikaita boda nikampa buku nne demu nae ananiuliza na hela uliyosema utanipa nikamwambia nilisema ntakulipia usafiri wa kwenda ubungo halafu nikaondoka zangu, yule boda nikamwambia peleka ubungo huyo na nikamuweka blacklist sipendagi utoto.
Haha haha mkuu ulmtendea hakii hatokusahau kabsaa
ilbdi umpange yule bodaboda kwamba ndo atampa
 
Nilikuwa nasikia zamani wakati ndo tunakua,tunanukia umri wa kuanza kumjua mwanaume,wasichana wanatusimulia wanavyokuwa wanasafiri kwenye mabasi wanakaa sit moja na wakaka wanapiga stori za hapa na pale hadi mwisho wa safari,muda mwingine safari inaishia na matumaini mapya ya mahusiano,yaani unaingia nyumbani unafarijika na zile stories za mkaka yule na cha ajabu ndo mara ya kwanza kukutana ndani ya hilo basi

Siku hizi unaingia ndani ya basi, unabahatika unakaa na mkaka sit moja,safari inaanza,kituo cha kwanza,hamna kitu,cha pili,hamna kitu,cha tatu unajifanya kumuulizia sehemu fulani basi linafikapo SAA ngapi,anajibu tu bado SAA moja
Halafu anarudisha earphone masikioni,anacheza games

Mnakuwa mabubu mpaka mwisho wa safari

Huwa hamtutendei haki kwa kweli

Mkiwa kwenye usafiri hasa mrefu msijifanye bize sana,huwa tunapenda tupige story mbili tatu

Ubize wetu kwenye mabasi huwa ni kupretend tu ,anza mazungumzo uone kama hutajibiwa
Duuuh
 
Kumbe huna akili, kama yeye haongei wewe si umuongeleshe. Ko nyiny muanziw t ila nyiny kuanza aaah, mbona kuomba hela hamtaki kuanziwa.
 
Nikawa siti moja na mrembo, pigisha sana story. Anafurahi tunacheka mpaka ikaonekana nipo naye. Tunakaribia kufika naomba namba kagoma. Iliniuma
Baada ya hapo sirudii, mtu unapoteza muda kumfurahisha bila faida yeyote
 
Kumbe huna akili, kama yeye haongei wewe si umuongeleshe. Ko nyiny muanziw t ila nyiny kuanza aaah, mbona kuomba hela hamtaki kuanziwa.
Si na mim nilianzisha kwa kuuliza muda wa kufika?
 
Back
Top Bottom