Wanaume wa siku hizi hawawezi kuongea

Wanaume wa siku hizi hawawezi kuongea

Tatizo wengi wenu hamchelewi kulia njaa na ukiona anajibu fresh ujue anataka lunch ..baada ya hapo ahah

Sema niliwai safiri na mtoto mmoja mwanza -moshi kufika moshi ni basi tuu alikuwa anakuja pokelewa ila mtoto alitaka nisugue papuchi[emoji27][emoji27]
 
Siku hizi wanaume shoo imepungua
Nilikuwa nasikia zamani wakati ndo tunakua,tunanukia umri wa kuanza kumjua mwanaume,wasichana wanatusimulia wanavyokuwa wanasafiri kwenye mabasi wanakaa sit moja na wakaka wanapiga stori za hapa na pale hadi mwisho wa safari,muda mwingine safari inaishia na matumaini mapya ya mahusiano,yaani unaingia nyumbani unafarijika na zile stories za mkaka yule na cha ajabu ndo mara ya kwanza kukutana ndani ya hilo basi

Siku hizi unaingia ndani ya basi, unabahatika unakaa na mkaka sit moja,safari inaanza,kituo cha kwanza,hamna kitu,cha pili,hamna kitu,cha tatu unajifanya kumuulizia sehemu fulani basi linafikapo SAA ngapi,anajibu tu bado SAA moja
Halafu anarudisha earphone masikioni,anacheza games

Mnakuwa mabubu mpaka mwisho wa safari

Huwa hamtutendei haki kwa kweli

Mkiwa kwenye usafiri hasa mrefu msijifanye bize sana,huwa tunapenda tupige story mbili tatu

Ubize wetu kwenye mabasi huwa ni kupretend tu ,anza mazungumzo uone kama hutajibiwa
 
Umenikumbusha kipindi nasoma Moro, nilisafiri kuelekea arusha double sit, nilijikuta nimekaa na demu mmoja wa first year chuo Flani nilikokuwa natinga, nilipomwona tu nikamkumbuka japo pale cumpass alikuwa anagegedwa na mshikaji lkn siku hiyo nikajitoa akili nikarusha mashaili mzee nakwambia ile kufika arusha nilikuwa nimeisha piga vidole vya kutosha viganja vimeisha lowa
Nilikuwa nasikia zamani wakati ndo tunakua,tunanukia umri wa kuanza kumjua mwanaume,wasichana wanatusimulia wanavyokuwa wanasafiri kwenye mabasi wanakaa sit moja na wakaka wanapiga stori za hapa na pale hadi mwisho wa safari,muda mwingine safari inaishia na matumaini mapya ya mahusiano,yaani unaingia nyumbani unafarijika na zile stories za mkaka yule na cha ajabu ndo mara ya kwanza kukutana ndani ya hilo basi

Siku hizi unaingia ndani ya basi, unabahatika unakaa na mkaka sit moja,safari inaanza,kituo cha kwanza,hamna kitu,cha pili,hamna kitu,cha tatu unajifanya kumuulizia sehemu fulani basi linafikapo SAA ngapi,anajibu tu bado SAA moja
Halafu anarudisha earphone masikioni,anacheza games

Mnakuwa mabubu mpaka mwisho wa safari

Huwa hamtutendei haki kwa kweli

Mkiwa kwenye usafiri hasa mrefu msijifanye bize sana,huwa tunapenda tupige story mbili tatu

Ubize wetu kwenye mabasi huwa ni kupretend tu ,anza mazungumzo uone kama hutajibiwa
 
Hahaha saivi dada angu Kuna wagongaji hapo anasukubiri ujichekeshe akuulize unafikia wapi?akubadilishie ratiba,akupeleke hotelini,apite na wewe mzima mzima..

Zamani story nyingi No impact siku hizi vitoto vipo very strategically havina urafiki wa ukaka na dada sijui mpige story za maisha halafu mbadilishane namba muwe friends hapana kwakweli eti vinaamini urafiki wa kaka na dada Ni gharama eti vizinga unapigwa wewe kula anakula mwingine..

Vitoto vinapanda kwenye gari vinageuka vithaminisha mzigo,unalipa? hapana,Je haya ndo mambo yangu?hapana,basi vinasalimia vinachukua earphone vinasikiliza mziki hadi Mwisho wa safari...Ni vihuniiiiiiiiiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wanawake wa zamani hawakua wajuaji kama wasasa. Nyie kila kitu mnajua mtu akiongea kidogo mshadakia mnajua kila kitu nitakwambia nini.

Kuna demu nilisafifiri naye kutoka Dar kuja Mbeya kiukweli yule dada kajaaliwa sura mpaka shepu. Tukaanza kupiga story nikaona mtu anachangamka kweli namimi ndio story ninazo ila tatizo ni mjuaji balaa nikileta story kidogo keshaleta habari za Dubai, SA na Egypt. Najitahidi kumuhamisha mtu kakomaa na story za mbele tu. Sisemi ni vibaya ila huko mimi sijawahi kufika kwa vyovyote story lazima itabase upande mmoja so nikawa nakomaa tuongelee mambo ya bongo naona mtu ye habari nyingine. Nikaona asinitie uchizi nikachukua kitabu nikaanza kusoma kuanza kuongea tena tulipokaribia Uyole.
 
Nice guys talk much nonsense, sometimes pretend to be busy with their phones... Bad boys talk less and sometimes seduce or flirt and even acting gentleman to win your heart.... all these depend on how you treat him. All are possible and its your choice according to your need.

Gracias...
 
CRA tuonane
tapatalk_1566112073370.jpeg
 
Nilikuwa nasikia zamani wakati ndo tunakua,tunanukia umri wa kuanza kumjua mwanaume,wasichana wanatusimulia wanavyokuwa wanasafiri kwenye mabasi wanakaa sit moja na wakaka wanapiga stori za hapa na pale hadi mwisho wa safari,muda mwingine safari inaishia na matumaini mapya ya mahusiano,yaani unaingia nyumbani unafarijika na zile stories za mkaka yule na cha ajabu ndo mara ya kwanza kukutana ndani ya hilo basi

Siku hizi unaingia ndani ya basi, unabahatika unakaa na mkaka sit moja,safari inaanza,kituo cha kwanza,hamna kitu,cha pili,hamna kitu,cha tatu unajifanya kumuulizia sehemu fulani basi linafikapo SAA ngapi,anajibu tu bado SAA moja
Halafu anarudisha earphone masikioni,anacheza games

Mnakuwa mabubu mpaka mwisho wa safari

Huwa hamtutendei haki kwa kweli

Mkiwa kwenye usafiri hasa mrefu msijifanye bize sana,huwa tunapenda tupige story mbili tatu

Ubize wetu kwenye mabasi huwa ni kupretend tu ,anza mazungumzo uone kama hutajibiwa
Huwa siwaachi salaama viumbe vinavyoitwa me

Nilishawahi mtongoza mama mmoja nilikaa nae siti moja kutoka dar mpka mwanza nilimpa pumz kutoka ubongo mpaka kibaha baada ya hapo akaomba kukaa dirishan nikampisha akakaaa bila tabu mpka tunafika Moro teyar bby nyng za kutosha haswa umri wake ulikuwa 40plus na alikuwa na Mr wake mumewe alikaaa siti za nyuma ya gar kwahyo ikawa mm ndio Mr na mbili

Nilishuka usagara siku iliyofuata alisumbua balaaa nikaona isiwe tabu nikapita naeee
 
Acheni Nyodo na kuomba hela kiboya. Mm nikikutana na mwanamke hata Salamu sitoi maana najua hamna agenda nyingine zaidi ya pesa. Sasa hivi nipo na watatu tuuwananitoa Jasho. Kila ukigeuka huku ni vizinga mwanzo mwisho
 
Kumbe madem wanapendaga kuongeleshwa sasa mbona tukianza kuwasalimia mara mjifanya hamjasikia hamjibu? Pia acheni dharau kikawaida anaesalimia ni aliemkuta mwenzie hapo inakua afadhali sasa unakuta mwana amekaa wewe unakuja zako kwenye siti unajikausha kama umeona gogo basi unaendelea zako ila madem wa mikoani wapo poa sana sio kama wa daslama huko unapewa hai unatia gia namba moja namba mbili na matarakimuu juu...
 
Tunaanzisha story mpaka mkishatoka kula lunch kwa wale tunaosafiri mkoani shida njaa zenu Kali sana
 
Niliwahi safir na mdada from dm to mwanza yule dada ni mwanachuo SAut ila kashamaliza nahis maana ni muda tangu 2015, mi si muongeaji sana kama nitakutan na bubu mwenzangu labda niwe nimeshatia mavituz,kama kawaida kanuni ya kuanza maongezi ni salamu tu nikamsalimia ile morning pre-safari nilimuona huyu bila kumchangamkia tutafika mwanza hatujaongea hata maneno kumi maana muda mwing namuona anachati mara wasap mara sms mara insta ila sikubahatika kumuona akiingia jf nahis alikua mshamba haijui,

nikamchangamkia nikamletea story nying yani story inazaa story mpka tukazoena,nikawa namchomekea maneno nikamuona hana maneno,akawa na usingiz safari imenza kumchosha nikachukua shuka langu la kimasai nikamtandikia corridon ya basi akalala maana alikua anahitaj kujinyoosha

Watu nahis walijua kama tunajuana kumbe no akawa ameachana na simu katia kwenye mkoba tukazidsha story ,nilikua na begi flan portable nimelipakata akalalia pale, niliwaza nimletee pigo za mapenzi zaid nikakumbuka nina wangu nikakausha

Post ndefu halafu imeisha kijinga.
 
Mwanamke aliyevaa wigi,mikope ya mchina na kajichora tattoo sitofungua domo langu kimsemesha.
 
Back
Top Bottom