Wanaume wa siku hizi ni vitukoo

Wanaume wa siku hizi ni vitukoo

kritika

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
410
Reaction score
1,156
Hahahahahha nacheka lakini naogopa,
Wanaume wa siku hizi ni majanga mashoga zangu unakuta kamwanaume kanajishaua kana jijitutumia kuja kukutongoza cha ajabu unakuta PESA HAKANA ukisema uvumilie hilo pia unakuta MAPENZI YA DHATI HAKANA ukisema potelea mbali wacha nizuge nacho unakuta NGUVU ZA KIUME HAKANA woiiiiiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ngachokaaa
 
Mungu hakunyimi vyote, huyo ambae hana pesa na hajui kudinya atateseka sana asipozipata pesa ila tambua ya kuwa pesa ndio nguvu za kiume halisia.
 
Back
Top Bottom