Wanaume wa siku hizi ni waoga kueleza hisia zao

Ujasiri wa kumuelezea mwanamke hisia unatoka wapi wakati mifuko mitupu ukimaliza tu kuchukua namba mizinga inaanza unadhani wanaume ni ma bogus sio tatizo wanawake mmeweka tamaa ya pesa mbele.
 
Ni kweli! Vijana wengi wa siku hizi ni waoga. Siku hizi wametuiga wanawake kuonyesha kwa vitendo kuwa nakupenda lakini jiongeze mwenyewe mimi sikuambii.

Wanajipitishapitisha, kucheka hovyo, kutuma msg kila mara.
Na kuulizwa how was your day,umekula?
 
Huyu Mimi kabisa navojuaga kumkazia mtu macho🤣🤣🤣🤣
 
Siku hiz nyie wanawake hamtaki kutongozwa talent mbona tunazo,, Ila hamtaki kuelezwa siku izi mnataka shortcut story, mazoea,out, kutembeleana kwisha
 
Ni kweli! Vijana wengi wa siku hizi ni waoga. Siku hizi wametuiga wanawake kuonyesha kwa vitendo kuwa nakupenda lakini jiongeze mwenyewe mimi sikuambii.

Wanajipitishapitisha, kucheka hovyo, kutuma msg kila mara.
@ephen_ unaonekana kisu na umejaaliwa neema za allah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…